Jay Gatsby
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 697
- 928
Wakuu sorry mimi sio mzoefu sana wa kikapu nimeanza kufatilia sio muda mrefu sema nimevutiwa sana na NBA,nimetokea kuipenda hii timu ya Philly 76ers,sema ningependa kujua hvi wanakwama wapi?Yaani wanahitaji nn(Wachezaji gani) kuweza kushindana na timu kama ya Warriors?