The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

Naona Kama Gsw anazidiwa Ila Ni Mapema Sana Kusema Hivi
Mchezo wa leo ndio aina ya basketball ninayopenda kuitazama...yaani timu mbili zinacheza mchezo wa kistaarabu, si ule wa mwereka na bull-dozing. Yeyote atakayeshinda nitakuwa nime-enjoy huu mpambano!
 
Back
Top Bottom