The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

Hajavunja contract, alikuwa injured ikiwa ni msimu ambao alikuwa anaenda kuwa free agent.

Kwa hiyo July 2018 he was unrestricted free agent, kumbuka alikuwa na majeruhi ambayo kila mmoja alikuwa anaogopa kumchukua.

GSWs walimpa mkataba wa mwaka mmoja wa 5.3 M iko categorized kwenye Medium Level Exception (MLE)
View attachment 1121845
Asante Chief...
Maana hii kazi ya kuandika huku hapo hapo uzame Google kumletea MTU ushahidi wala sio ndogo..!
 
Duh, hata wewe umerudi! Kweli Warriors waliwapa kifungo watu kibao humu ndani, mpaka hata kunusa tu thread ya Basketball walikuwa hawathubutu. Labda na Raimundo naye atakuwa njiani, karibuni sana tena na safari hii nawaomba tafadhali sana mtulie, msije mkaanza tena zile hadithi zenu!

LeBron tulipomnyang'anya kwa mara ya kwanza, jamaa alilia kama mtoto mdogo hadi ikabidi tumtulize kidogo mwaka uliofuata kwa kumuachia angalau apumue kidogo. Hatukusita kumnyang'anya tena kelele zake zilipozidi ikabidi akimbilie kwa ndugu zetu Lakers. Huko nako hatukumpa hata nafasi ya kupumua...masikini LeBron!

Leo eti ushabiki wenu umehamia kwa Toronto! Watu kweli mna roho ngumu, who in the world are Raptors? Kahwi tuliyempiga akiwa San Antonio au Ibaka aliyeikimbia OKC bila kuaga baada ya kile kichapo! Mnasahau, eh! Mimi roho hata hainiumi, jina Warriors tu lilikimbiza watu humu na kubaki tu wakichungulia kutoka mafichoni. Acheni hizo...ha ha haaa!

...it aint over till it's over!
Ahahaaaah..!
Jamaa ametoka mafichoni na mzuka mkali sana aisee...
Bado najiuliza alikuwa bize sana kwahiyo sasa hivi ndio yuko free..!?
Sitaki kuamini kuwa kufungwa kwa Warriors ndio kumemrudisha jukwaani..!
 
Game ilikuwa almanusura Djokovic abadili matokeo, seti ya mwisho alikuwa nyuma kwa 1 - 4 ila ameweza kufika 5 - 5.

Sema mwishoni kafanya makosa sana.
Mimi sikutaka kabisa Djokovic ashinde,nikitumaini Rafa atapata ahueni kwa Thiem. Ila final ni final tu. Ila hata jana kabla ya mechi kuahirishwa bado Thiem alimpelekesha sana Djokovic.
 
Kila la kheri na Nadal wako, ila mimi huwa nakuwa upande wa underdog.

Hivyo kesho niko kwa Thiem mwanzo mwisho.
 
On the same page Victoire I watched part of the match but it was very frustrating due to rain stoppage. I was crossing my fingers for Thiem to win and in few hours I’ll be rooting for my guy the King of Clay Raphael Nadal. I watched the whole match with Federer and at time I was so nervous, but he prevailed and I was so happy.

Mimi sikutaka kabisa Djokovic ashinde,nikitumaini Rafa atapata ahueni kwa Thiem. Ila final ni final tu. Ila hata jana kabla ya mechi kuahirishwa bado Thiem alimpelekesha sana Djokovic.
 
The curse is not real. They won Eastern Conference when Drake was in the house. The best Orlando, Philly, Bucks 4 in row and Warriors 2 in a row. Where was Drake’s curse?

Raptors fans tunaomba tu Drake asitokee game ijayo maana the curse is real. [emoji1787]
 
Nakusalimia Mkuu

Duh, hata wewe umerudi! Kweli Warriors waliwapa kifungo watu kibao humu ndani, mpaka hata kunusa tu thread ya Basketball walikuwa hawathubutu. Labda na Raimundo naye atakuwa njiani, karibuni sana tena na safari hii nawaomba tafadhali sana mtulie, msije mkaanza tena zile hadithi zenu!

LeBron tulipomnyang'anya kwa mara ya kwanza, jamaa alilia kama mtoto mdogo hadi ikabidi tumtulize kidogo mwaka uliofuata kwa kumuachia angalau apumue kidogo. Hatukusita kumnyang'anya tena kelele zake zilipozidi ikabidi akimbilie kwa ndugu zetu Lakers. Huko nako hatukumpa hata nafasi ya kupumua...masikini LeBron!

Leo eti ushabiki wenu umehamia kwa Toronto! Watu kweli mna roho ngumu, who in the world are Raptors? Kahwi tuliyempiga akiwa San Antonio au Ibaka aliyeikimbia OKC bila kuaga baada ya kile kichapo! Mnasahau, eh! Mimi roho hata hainiumi, jina Warriors tu lilikimbiza watu humu na kubaki tu wakichungulia kutoka mafichoni. Acheni hizo...ha ha haaa!

...it aint over till it's over!
 
On the same page Victoire I watched part of the match but it was very frustrating due to rain stoppage. I was crossing my fingers for Thiem to win and in few hours I’ll be rooting for my guy the King of Clay Raphael Nadal. I watched the whole match with Federer and at time I was so nervous, but he prevailed and I was so happy.
Hope Rafa will do as he always does,on his home play ground. He is the Lion of Roland Garros.
 
Duh Toronto wamenifanya nipende basketball tena!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom