I happen to know the Chairman and it ain't ya dude! Ha ha haaa...laughing my way to the championship!
On another note, Warriors walipata FT 14 tu huku Raptors wakipewa 27 lakini ukisoma comments zenu humu ni kama vile FT ndizo ziliwapa ushindi Warriors! Curry, kwa mfano hayumo hata katika orodha ya top 50 wanaopewa FT nyingi per game. Uzuri wake au ubaya wake kwa wapinzani wake ni kwamba ukimpa FT wewe hesabu tu basket!
Kwaherini, tutaonana Alhamisi Oracle Oakland. Eti Pierce alichukua kabisa selfie Oakland kama kumbukumbu akijua Raptors hawakanyagi tena huko! Yaani kuna watu, we acha tu...mimi nawaangalia tu wanavyohangaika na The Dubbs. Najua nawachoma kweli kweli waleeee...ha ha haaa!
Jamani nachangamsha tu jukwaa, sina makuu!😂🤣!