The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

Raps win their first ever NBA title. Siakam with 26 points and 10 rebounds as Toronto win Game 6 114-110 and take the series 4-2. [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nimeziona mkongwe,upo sahihi sana..!
Ila mambo haya tunayaongeleaga sana tukikutana kwenye threads za football,refs are just human beings..!

Ni kweli mkuu.

Hilo sina ubishi nalo, na kuna swala kwamba GSW are so good kiasi kwamba ni rahisi ku-attract hizo cheap fouls.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
....and mind you in January St Louis Blues was the last team in the NHL. When they were beaten 5-1 in game 6 I thought it was over, but they did it in enemy’s territory just like the Raptors.

Jana St. Louis Blues won the StanleyCupFinal for the first time. Today the Raps win NBA Championship for the first time. Guys Don’t believe anyone who says it can’t be done. Yes, we can! #WeTheNorth #Toronto #Canada
 
Congrats to Siakam & Ibaka
Sons of Africa
IMG_20190614_072147.jpeg
 
Hizi calls leo sijazielewa, sema Raptors siyo watu wa kulalamika.

Bora game imeisha, Raptors walikuwa wamechoka tayari, na game 7 wangekufa.

Hater [emoji1433] Hongera sana Hater [emoji23][emoji23][emoji23] you have always been right "Steph Curry is not finals material" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama core ya GSW (Green,Klay &Curry) wakiendelea kubaki pamoja still GSW wataendelea ku-dominate NBA
Inauma sana,ila pongezi nyingi sana kwa Raptors' fans na haters wote wa GSW..!
You deserve this moment..!
 
KD is out, he will probably be out the entire season.

Hivyo, tutegemee bingwa atakuwa mwingine tena season ijayo. Maana hata akiresign hatacheza.

Labda wamrecruit Leonard.

Tulisema sisi KD aangalie future yake kama its worth one game hakutusikia. Now he is regretting his decision. He may never be the same hata akirudi season ya keshokutwa. Mwenzie Kawhi San Antonio walim pressurize acheze wakati ameumia he was smart enough kuwakatalia.
 
Back
Top Bottom