Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Mmmh...
Kwani KD na Curry wana misimu mingapi pamoja..?
Nijuavyo mimi Curry amekuwa MVP hata kabla ya KD kujoin GSW...
Ameshinda taji la NBA kabla ya KD kujoin GSW...
Au una maana gani kusema Curry anabebwa na KD..?
Mimi nafikiri inasound good ukisema KD amekuja GSW ili kubebwa na Splash brothers,coz ring zote mbili kaja kuzipata GSW,hiyo ni baada ya kuona hawezi kupata kitu akiwa OKC na Mr Westbrick..!
Uko huru kumchukia jamaa,ila usimnyang'anye heshima yake..!
Kwenye ushabiki, usichukulie kama kila comment kwamba mtu ana maanisha, no.
Ila ni kwamba kila dongo unaloona karibu unamrushia adui.
Ila kimoyomoyo inakuwa unajua ukweli ni upi!