THE 2022 POLITICS

THE 2022 POLITICS

Joined
Jul 27, 2019
Posts
5
Reaction score
2
THE 2022 POLITICS
Mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa Siasa za Kenya hususani Uhuru, Raila na Hustler mwenyewe Ruto. Ila baada ya Handshake Uhuru amemwacha Ruto sasa wako na Raila Odinga (Baba).

Swali langu kwa wachambuzi wa masuala ya kisiasa Africa Mashariki, ni ipi hatima ya Dp Ruto come 2022? Je Wakenya watamchagua kweli au ni Gideon Moi?
 
Duuu jamaa yangu Ruto inabidi ajipange sana. Maana hiyo kamata kamata ya mafisadi inakoelekea dalili yake siyo nzuri.
 
Back
Top Bottom