The 2024 Land Cruiser Prado Sibling is Finally Here

The 2024 Land Cruiser Prado Sibling is Finally Here

1690976404859.png
1690976418243.png

Headlights za rounds zinamuonekano mzuri zaidi
 
Sitakufa mpaka nimiliki kati ya haya:

Prado hizi mpya za kisasa
Hilux hizi mpya za kisasa
Ford ranger
Volkswagen amarok

N.B
Hii volkswagen amarok mpya ya msouth hivi mmeiona?
Wameshare vitu na ford ranger, chuma kimetulia balaa
Unamwamini Mungu na atakutimizia zaidi ya unavyohitaji. Mungu akubariki sana
 
Huyu atasumbua sana sokoni tofauti na watangulizi wake, promo la ujio wake tu imeizidi hata lc300
Kweli. Nimeona promo yake sio mchezo. Japo wamebana kuipa engines za LC300.
 
Back
Top Bottom