The 25 Stunning Lakes of Mt. Kenya

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350

@5,199 Metres, Mlima Kenya(Kirinyaga) ndio mlima wa pili kwa urefu barani Africa. Ml. Kenya na Mbuga la Wanyama la Ml. Kenya, viungani mwake, ni UNESCO 'World Heritage Site' na 'World Biosphere Reserve' pia.

Ml. Kenya una theluji kileleni na upo kilomita chache sana kutoka kwenye ikweta. Ambayo inapita Nanyuki, mji ambao upo chini ya 'slopes' za mlima huo. Mount Kenya.

Jambo ambalo watu wengi huwa hawalifahamu ni kwamba juu ya mlima huo kuna maziwa zaidi ya 25, yenye 'size' tofauti na ambayo yapo kwenye 'altitude' tofauti.

Maziwa yanayofahamika zaidi kati ya hayo 25 ni yale maarufu kama 'Top 4', kwa watalii. Yakiwa ni pamoja na Lake Rutundu(25 Acres) @3100Mtrs, Lake Ellis(28 Acres) @3,470Mtrs, Lake Alice(48 Acres) @3,500Mtrs, na Lake Michaelson(30 Acres) @3,950Metres. Pamoja na maziwa mengine kama Enchanted Lakes, Teleki Tarn, Nanyuki Tarn, Kami Tarn n.k, n.k.

Lake Michaelson. View of Lake Michaelson from The Temple.

Lake Rutundu. Rutundu garnered alot of attention after UK's Prince William proposed to Kate Middleton, at this now world-reknown lake on the mountain, while they were on holiday in Kenya.

Lake Alice
Fly fishing(Trout) at Lake Alice.

Lake Ellis
Camping sites at Lake Ellis and below, the lake on a sunny day.


Enchanted Lake
Off the beaten track. Helicopter rides are also available for the unafraid and heavy-in-pocket wanderers, considering the accident prone unforgiving weather.
 
SO WHAT? WEKA KWENYE Forum za UGANDA, SUDAN NA SOMALIA SIO HUKU FAla ww
 
SO WHAT? WEKA KWENYE Forum za UGANDA, SUDAN NA SOMALIA SIO HUKU FAla ww
If you are aqua-phobic, there are other numerous activities, apart from the lakes' run and sport fishing, to enjoy while climbing to the peak of Mt. Kenya and at the National Park.

Camping in sites and cabins at different altitudes and hiking to favourite spots like the cliff at The Temple is an all-year round all-weather affair. The scenic views and routes in Mt. Kenya forest are also highlights when touring up, in or around the mountain.
 
Sasa muweke kwenye KQ, humu hatuwezi wasaidia, na vile hata bahari si yenu ni ya Somalia kweli hiyo ndo Kunyaland. Mt Kenya si ya Waganda kweli maana huwa mnawashwa na mali za watu. Isitoshe Mt Rwenzori n Elgon are more beautiful and authentic that rock so called Mt Kunya
 
Rutundu Log Cabins is a rustic retreat at approx. 3,200Mtrs on Mt. Kenya. Accessible from both Lake Rutundu and Lake Alice. This is the place to be, to enjoy the mountain, it's lakes, atmosphere and everything in-between, off the grid. Good enough for a Prince and a Princess, good enough for the commoner. Rutundu Log Cabins has 20 cabins of the same character.
 
More images of Mt. Kenya and it's stunning lakes.
Mt. Kenya in the distance.
One of the green lakes along Sirimon Route at Mackinder's camp.
Trekker above Mackinder's Camp.
Another magnificent lake, Minto Tarn
Lake Michaelson at sunset.
 
Dah! Japo wengine wanabeza lakini mimi nasubiri haya mambo ya Covid-19 yaishe nitakuja kutembelea hivi vivutio, maana napenda sana kusafiri sehemu ambazo sijawahi kufika. Unaposafiri kwa lengo la kwenda kuona vivutio ambavyo hujawahi kuviona akili yako huwa inafurahi sana na kuwa kama mpya, unaipa akili yako chakula. Kama tunavyojua kazi ya akili zetu ni kufikiri, na huwezi kufikiri kitu ambacho hujakiona au kukisikia au hata kukisoma, kwa hiyo unapokuwa mtalii maana yake unailisha akili yako mambo mapya ambayo itayatafakari.

Naweza kusema kama vile unavyosoma kitabu na kufurahia mambo ambayo ni mageni kwako, je si zaidi kuyaona mambo mageni kwa kutembelea maeneo mbalimbali yenye vivutio? Ilishe akili yako mambo mapya maana kuna fursa ambazo huwezi kuziona kwa kukaa tu sehemu moja maisha yako yote. Amka hapo ulipo nenda nje ya eneo ulilopo. Usiogope gharama kwa sababu ni muhimu sana kusafiri, jipe nafasi ya kuona mambo mapya kabisa ambayo akili yako haijawahi kuyaona. Pia hizi ni sehemu nzuri kwa kuangalia masoko ya bidhaa zako ulizonazo.

Utakutana na watu wapya kwenye maisha yako, hata mambo mapya yanaanza kuingia kwenye maisha yako, kama una marafiki wa muda mrefu na hujawahi hata kuwa na marafiki wengine tofauti na hao wa miaka mingi, hii ni fursa yako ya kukutana na watu wapya, na unapata nafasi ya kuelimika na kupata maarifa kwa njia mbalimbali...
 
Very true, yaani hiyo feeling ya kuzuru sehemu ambayo hujafika kwa nia ya kuzuru tu, sio kwa Jambo lingine, huwa haielezeki. Alafu huwa inabaki nawe hata baadaye, kwa muda mrefu.

Mi nikifika maeneo hayo late last year(Lake Alice Tour) na lazima nitarejea tena siku nyingine, Inshaalah. Kuzuri sana kule. Tena nilipatwa na ari mpya ya kutalii sehemu zingine duniani na mipango sasa ipo kwa uhakika. Hata kama bado sijaziandika kwenye kijikaratasi.

Utakapojipanga hit me up for sure nina contacts za guides, porter's n.k ambao wanaweza wakaku'link' na groups. Hike na camping za kupanda Ml. Kenya huwa zinanoga zaidi mkiwa wengi.
 
Utakapojipanga hit me up for sure nina contacts za guides, porter's n.k ambao wanaweza wakaku'link' na groups. Hike na camping za kupanda Ml. Kenya huwa zinanoga zaidi mkiwa wengi.
Nitakujulisha mkuu, tuombe Mungu hili janga la covid-19 liishe na hali irejee kuwa shwari...
 
Hapa ni Kenyan news section.., umepotea njia fukara?, rudi kwenye uzi wenu wa habari na hoja mchanganyiko ukachanganyikiwe huko, nyambaff! πŸ˜‚ πŸ˜‚
Eti akafanye nini kule kwa habari na hoja mchanganyiko? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…