The 5 Richest Tanzanians You've Never Heard Of

Mengi alikuwa anaingia mwenyewe front, hana tofauti na AM. Labda si Mchaga!.

AM yupi? Aliyemuachia kesi ya kichwa papa musofe au? Maana nasikia kakimbia kusini mwa afrika. Na musofe amehapa kumfuata huko huko, pia AM na yeye amehapa kummaliza hukohuko gerezani.
 
hata mimi nakubari.ila nanyi waislamu pia mnatakiwa kukubari ukweli kuwa wasomi wengi walioshikilia nafasi nyeti nchini ni wakristo.period:A S 11:

Unataka kuniambia kwamba hao matajiri ni matajiri kwa sababu ya uislamu wao na hao wasomi ni wasomi kwa sababu ya uislamu wao?

mi nadhani ni swala la timing, most muslims quit schooling for money and most get more money while most chrsitians spends most of their time in classes and earn the educations and employment opportunities this is just natural.
 
ww hauna akili kabisa au kipofu.diddy is worth $ 400 mil na jay z ni $350 mil sasa hawajawapita tu.halafu hawana assets kama za bakhressa,mengi na wengine.THINK BEFORE YOU TALk

Unapoongelea jay z, you are talking about him and his wife Beyonce. Na unapoongelea Mengi, inamaana unaongelea house hold- mengi na Mke wake. Kwa hiyo nadhani ushapata jibu. Kwa p. didy niliteleza, ila jay Z na Mke wake wewe ndio inabidi ufikilie kidogo.
 
ww hauna akili kabisa au kipofu.diddy is worth $ 400 mil na jay z ni $350 mil sasa hawajawapita tu.halafu hawana assets kama za bakhressa,mengi na wengine.THINK BEFORE YOU TALk

Unapoongelea jay z, you are talking about him and wife Beyonce. Na unapoongelea Mengi, inamaana unaongelea house hold- mengi na Mke wake. Kwa hiyo nadhani ushapata jibu. Kwa p. didy niliteleza, ila jay Z na Mke wake wewe ndio inabidi ufikilie kidogo.
 

Hawa nao ni mabilionea ama matrilionea?
 

mabilionea wa arusha wako wapi kwenye hio list????maanake naona mamilionea tu hapo.....🙂
 
Afadhali hawajaweka jina langu hapa wasije kuja nivamia usiku bure mpaka nitakapo ongeza ulinzi wa kutosha kitaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…