The 5 Richest Tanzanians You've Never Heard Of

The 5 Richest Tanzanians You've Never Heard Of

tunawataka viongozi wa nchi tujue utajiri wao,kama utafiti uko huru basi watupe figures za EL,JK,Mkapa,Chenge,Kigoda n.k
 
wangekuwa matajiri wakristo wengi, jamaa wangesema mfumo kristo, sasa sijui na wakirsto nasi tusemeje hapa, manake naona mkristo hapa ni Mengi tu.
 
Yaani tajiri wa kwanza Tanzania hana pesa za msanii wa Marecan. Kama Jay Z au P. diddy. Kazi kweli kweli.

ww hauna akili kabisa au kipofu.diddy is worth $ 400 mil na jay z ni $350 mil sasa hawajawapita tu.halafu hawana assets kama za bakhressa,mengi na wengine.THINK BEFORE YOU TALk
 
Hawa watu mbona sijawaona? Au wao wachovu?
Edward Ngoyai
Andrew Chenge
Ben Mkapa
Riz Jakaya
Johnson Lukaza
Alex Massawe
Marijani Msofe
Loraa Masai
Muzamil Katunzi
Nimrod Mkono
Yusef Manji
Papa King
Mzee Rugemalira
Sadock Magai
Laurence Masha

Na wengine wengi, manake wanaongoza kwa kelele.

Naombeni ufafanuzi please!
 
[h=2]Linganisheni matajiri wenu wa Tanzania na Just Wachezaji tu wa Nje. Hawa wachezaji wameanza kutafuta hela ndani ya miaka 10 tu, linganisha na Kina Mafuruki na mengi ambao wapo kwenye michakato ya hela toka kina Ronaldo na Messi hawajazaliwa, duh??
Kweli Tanzania sio Ulaya au Marekani


1. Lionel Messi[/h]
2012 Earnings: €33 Million (£27.5m)
2011 Earnings: €31 Million
Net worth: $110 Million – (estimated)
Current Club: FC Barcelona
The Barcelona star topped his €33 million earnings from the Spanish giants with sponsorship deals from the likes of adidas and Pepsi.

[h=2]2. David Beckham[/h]
2012 Earnings: €31.5 Million (£26.2m)
2011 Earnings: €19 million
Net worth: £160 Million or $260m – As of May 2012, according to the Sunday Times UK Rich List
Current Club: Los Angeles Galaxy
Becks, 36, collected €31.5 million and maintained his high profile despite plying his trade in America with LA Galaxy. His endorsement deal with Adidas is the biggest in the sport thanks to royalties from soccer apparel and cleats as well as lifestyle lines like ObyO. In May 2011 he signed a deal with Samsung to become the company's global brand ambassador for the Games.

[h=2]3. Cristiano Ronaldo[/h]
2012 Earnings: €29.2 Million (£24.3m)
2011 Earnings: €27.5 million
Net worth: $160 Million – (estimated)
Current Club:Real Madrid
Real Madrid star Cristiano Ronaldo had to settle for third and €29.2m despite leading the scoring charts in La Liga with 32 goals in 26 games this season. Using social media to expand his brand. With 26 million Facebook fans, twice as many as any other athlete and 3 million Twitter followers; which is part of the attraction for sponsors like Nike, Armani, Coca-Cola and Castrol.
 
Bila kumwona manji humo sitakaa niliamini hili gezeti! haiwezekani eti Manji azadiwe na mtu mwenye dola pungufu ya 200m!
 
Manji eti hayupo na El je,Kibongobongo ni ngumu kumjua tajiri zaidi kwani kuna usiri mkubwa kutokana na illegal ways used.
 
Jarida limechakachua!!! Ingawa hapo kwa Bakhresa nimepapenda kumbe Elimu sio msingi wa kuwa na pesa! Dah
 
Mark my words. The next list will include the name of Tanzanian of Chinese descent.
 
I used to think infotech belonged to Abdiel Mengi. So this son of Mengi it turns out was working for Mufuruki!!!
 
Of the above I admire Bakhresa, Mfuruki and Mengi.

The rest have had dubious deals with the government, at least of what is known to the public
 
Back
Top Bottom