Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,825
Hapo turudi kwenye ulipaji wa kodi. je utajiri wao unendana na kodi wanazolipa?%$
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KITAIFA
...baada ya kuangalia nafasi zao kifedha, ufanisi wa kampuni zao katika soko la hisa, mfumo wa wanahisa katika soko la hisa na mtiririko mzima wa fedha katika akaunti zao kwenye benki mbalimbali.
Is this comment or repeatition. Sijaelewa!.Anayeongoza katika orodha hiyo ni Bakhressa anayemiliki mali na fedha zenye thamani ya Dola za
Marekani 620 milioni sawa na Sh992 bilioni (Dola moja Sh1,600) akifuatiwa na Dewji ambaye utajiri
wake ni Dola 560 milioni (Sh896 bilioni). Wengine na kiasi cha mali na fedha wanazomiliki kwenye
mabano ni Rostam (Sh672 bilioni- Dola 420 milioni) Mengi (Sh448bilioni- Dola 280 milioni) na
Mufuruki (Sh176 bilioni - Dola 110 milioni)
Ni mzunguko mkubwa wa hela lakini kipato sio kikubwa sana.hizo ni official figures bado zile hela za kuchakachua ambazo TRA hawazijui mimi ninaamini bakhresa is way worth more than $620million
Yaani tajiri wa kwanza Tanzania hana pesa za msanii wa Marecan. Kama Jay Z au P. diddy. Kazi kweli kweli.
Kati ya hao kuna wenye hela za wizi
ndiyo huyo huyo zamani tulikuwa tunawaita mabota!