The 9 Types of Intelligence

Edison, hiyo sio IQ, mwanao amezaliwa na well defined ESP (extral sensory preception) hivyo kuwa PSI Powers zinazo mpa uwezo wa precognition, preamonition na telephathy. Tafuta kitabu cha Myahudi Uri Geller 'Fortune Secrects' umfanyishe mazoezi ya 'mind over mater' wewe ni bilionea!.
 
kuna m'baba nilimuona kwenye aerobics class,yaani yuko discoordinated he cant get a single move right!nikawa namshangaa,,i never thought kwenda gym ama dancing kunahitaji akili.sijui huyu ana-miss intelligence trait ipi( # 5?)
 
kuna m'baba nilimuona kwenye aerobics class,yaani yuko discoordinated he cant get a single move right!nikawa namshangaa,,i never thought kwenda gym ama dancing kunahitaji akili.sijui huyu ana-miss intelligence trait ipi!


mhh wewe nawe
ulishampenda baba wa watu lol
 

Ananikumbusha.'' The man who saw tommorrow'' Notra Damus. ( jina sina uhakika kama nimelipatia vizuri.
 
Only TWO types of intelgence: Counter intelgence and combat intelgence.
 

Inaaminika kwamba wanadamu tuna ESP lakini tumeshindwa ku-activate huo mfumo ili ufanye kazi
 

Kwa kienyeji tunasema "kanamchale"
Kiimani tunasema "kanapepo la utambuzi"
Kitaalamu tunasema "great minded person"
 
kuna m'baba nilimuona kwenye aerobics class,yaani yuko discoordinated he cant get a single move right!nikawa namshangaa,,i never thought kwenda gym ama dancing kunahitaji akili.sijui huyu ana-miss intelligence trait ipi( # 5?)
Ha ha ha
umenikumbusha mbali!
Tukiwa JKT mika hiyo kuna jamaa ambaye akishindwa kanisa ku-coordinate mwendo wa miguu na mikono.
Alikuwa, akipeleka mguu kushoto mbele-na mkono wa kushoto vile vile.
Na akipeleka mguu wa kulia mbele-na mkono wa kulia vile vile.Na ankuwa kakamaa na yuko serious huku tunakufa kwa kuchekea kwenye kombati.
 
Mkuu sasa Ni miaka 11 imepita, vipi kuhusu maendeleo ya mtoto wako?
 

Mkuu mimi nimesoma Science hiyo lugha tulikua tunaitumia kidogo mno inanisumbua sana nitenda nayo polepolee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…