The 9 Types of Intelligence

The 9 Types of Intelligence

Huu uzi nlikuwa nautafta sanaa.
Asante admn [emoji122]
 
Dah! Kuna mwanangu miaka 5 akiwa ndani ya nyumba anaweza kukwambia nje barababi kuna nini au nani anakuja home.

Sometimes ukienda nae sehemu anakwambia 'Dad it is not safe to be here lets go!' ukiondoka hapo baada ya nusu saa kinatokea kitu ambacho huwezi amini

Juzi amemwangalia mama yake usoni akamwambia ''mama kuna kitu kinakusumbua moyoni macho yako yanaonyesha!!"

IQ yake iko juu sana, ana miaka 5 lakini anaweza kuongea lugha 4 (swahili, kingereza, dutch-lugha ya mama yake na kisukuma - lugha ya baba yake)
Sio unasifia tu, wakati mwingine watoto wanakuwa na majini.
 
Kwa waliosoma bachelor of education hiki kitu si jambo geni
 
Dah! Kuna mwanangu miaka 5 akiwa ndani ya nyumba anaweza kukwambia nje barababi kuna nini au nani anakuja home.

Sometimes ukienda nae sehemu anakwambia 'Dad it is not safe to be here lets go!' ukiondoka hapo baada ya nusu saa kinatokea kitu ambacho huwezi amini

Juzi amemwangalia mama yake usoni akamwambia ''mama kuna kitu kinakusumbua moyoni macho yako yanaonyesha!!"

IQ yake iko juu sana, ana miaka 5 lakini anaweza kuongea lugha 4 (swahili, kingereza, dutch-lugha ya mama yake na kisukuma - lugha ya baba yake)
Mkuu ukimtupia mashule yetu ya Ngumbaru,au ukim-treat kama mtoto wa kambo (kimalezi), nakuahidi hiyo bahati hautaipata wewe na ukoo wenu wote mpk dunia hii inakwisha.
 
The bold atabak kuwa gwiji wa mambo haya, sababu ana uwezo wa kukuletea jambo kwa lugha yetu kiswahili tena alolifanyia utafiti na co la kucopy na kupaste kama lilivo yani anakudadavulia had unaelewa

Long live the Bold... Habibu
 
Ha ha ha
umenikumbusha mbali!
Tukiwa JKT mika hiyo kuna jamaa ambaye akishindwa kanisa ku-coordinate mwendo wa miguu na mikono.
Alikuwa, akipeleka mguu kushoto mbele-na mkono wa kushoto vile vile.
Na akipeleka mguu wa kulia mbele-na mkono wa kulia vile vile.Na ankuwa kakamaa na yuko serious huku tunakufa kwa kuchekea kwenye kombati.
Hahaha alikua anashindwa kushtua kijoti?? Huo mchezo mtamu SNA nilipigwa kofi nkajikuta nimeelewa gafla
 
Back
Top Bottom