StraTon MemPhis GhaZar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 592
- 387
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio unasifia tu, wakati mwingine watoto wanakuwa na majini.Dah! Kuna mwanangu miaka 5 akiwa ndani ya nyumba anaweza kukwambia nje barababi kuna nini au nani anakuja home.
Sometimes ukienda nae sehemu anakwambia 'Dad it is not safe to be here lets go!' ukiondoka hapo baada ya nusu saa kinatokea kitu ambacho huwezi amini
Juzi amemwangalia mama yake usoni akamwambia ''mama kuna kitu kinakusumbua moyoni macho yako yanaonyesha!!"
IQ yake iko juu sana, ana miaka 5 lakini anaweza kuongea lugha 4 (swahili, kingereza, dutch-lugha ya mama yake na kisukuma - lugha ya baba yake)
Mkuu ukimtupia mashule yetu ya Ngumbaru,au ukim-treat kama mtoto wa kambo (kimalezi), nakuahidi hiyo bahati hautaipata wewe na ukoo wenu wote mpk dunia hii inakwisha.Dah! Kuna mwanangu miaka 5 akiwa ndani ya nyumba anaweza kukwambia nje barababi kuna nini au nani anakuja home.
Sometimes ukienda nae sehemu anakwambia 'Dad it is not safe to be here lets go!' ukiondoka hapo baada ya nusu saa kinatokea kitu ambacho huwezi amini
Juzi amemwangalia mama yake usoni akamwambia ''mama kuna kitu kinakusumbua moyoni macho yako yanaonyesha!!"
IQ yake iko juu sana, ana miaka 5 lakini anaweza kuongea lugha 4 (swahili, kingereza, dutch-lugha ya mama yake na kisukuma - lugha ya baba yake)
Hahaha alikua anashindwa kushtua kijoti?? Huo mchezo mtamu SNA nilipigwa kofi nkajikuta nimeelewa gaflaHa ha ha
umenikumbusha mbali!
Tukiwa JKT mika hiyo kuna jamaa ambaye akishindwa kanisa ku-coordinate mwendo wa miguu na mikono.
Alikuwa, akipeleka mguu kushoto mbele-na mkono wa kushoto vile vile.
Na akipeleka mguu wa kulia mbele-na mkono wa kulia vile vile.Na ankuwa kakamaa na yuko serious huku tunakufa kwa kuchekea kwenye kombati.