Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu basi ww noma aisee..Ndefu ila nimeimaliza yote!! Watu wanaanza mbali sana hadi kuja kuwa matajiri!!
Duuu basi ww noma aisee..
Kama unachimbo lolote la simulizi fb tuletee bwana..
Na wewe ulivyokuwa bwege umei quoteJarib kua na ufupisho mkuu
Kunywa pombe,kunyanyuka kusogelea
Story ndeeefu inachoshaaaaa siamin kama kuna pple zimeisoma yote kama ilivo
Mwisho
Okay sawia thn mkuuNdo utamu wa story yenyewe, story zingine ukifupisha zinakosa maana, hata mi hilo nilijaribu kulifanya
ila mkuu kwenye stori kama vile facebook ilianza kuwa bora wakat miaka ya juzjuz fb ilikuwa haina hata xehem ya ku2ma mesej private zaid ya coment au ni kwa huku bongo tuStory yetu ndo imefikia mwisho hapo
Shukrani kwa kuisupport, kwa aliesoma na kuandika comment ya maana, tupo pamoja, wote japo sijaweza mtag mtu kutokana na nilivyokuwa nikiandika lakini naimani story itaweza kuonekana
Nilipoisoma story hii niliipenda hivyo nikatamani kushare na wana JF nikijua kuwa wapo watakao kuwa wakiifahamu lakini sio wote watakuwa wakiifahamu.
Ndio, kiasi flani inapoteza muda katika kuandika na kwa kuzingatia kuwa original story inampangilio wa ajabu kidogo hivyo katika lugha yetu nilijaribu ili angalau hata kidogo iweze kuleta maana huku nikijaribu kuacha baadhi ya vitu na vitu vya muhimu vyote nikijaribu kuviweka, lakini Yeah, hii yote ni kwa sababu napenda mambo ya uandishi na ndo maana nikaamua kujitolea kuandika story hii.
Shukran.