The Actor Robin Williams found dead at his Northern Califonia home

Gone too soon,mi nakumbuka Goodmorning vietnam
 

hahaha! Huku ni kwa great thinker, cyo kila k2 utafutiwe. Google utapata jibu la swali lako, ukishindwa uendelee na magazeti yako ya udaku.
 

Chanzo: StandardMedia
 
Huko majuu wangekuwa wanaishi wale "wenzetu wa Iringa" hali ingekuwa mbaya zaidi.
 
Actor maarufu toka Hollywood Marekani Robin Williams afariki dunia akiwa na miaka 63

Ushauri Wangu Tusiwe Tunakimbilia Sana Kuwa Wa Kwanza Kuleta Taarifa Humu Wakati Ukiwa Bado Huna Data Za Kutosha Za Muhusika........... Huo Siyo Umri Wake Sahihi Na Nakupa Kazi Tena Tulia Msome Vizuri Kisha Uje Na Taarifa Zake Za Uhakika. JF Siyo Sehemu Ya Wakurupukaji bali Ni Sehemu Ya Ma Intellectuals wa Masuala Mbalimbali Ya Kimaisha na Kidunia. Samahani Kwa Mawazo Yangu haya Kama Yatakukwaza Mkuu ILA Tunarekebishana Tu Kimtindo!
 
Aisee nimepatwa na huzuni.
Maana nafuatilia comedy seriez yake ya The crazy one.

Alikuwa anachekesha sana.
Hasa anapotumia mdomo wake kuigiza sauti tofauti .

Pumzika kwa amani .
 
Nimesikitika sana hasa nikikumbuka ile Movie yake maarufu sana Mrs.Doubtfire. inasemekana kajiua.

'I do voices' ...naipenda ile movie hadi leo though nimeiangalia miaka ya tisini..ninayo hapa kanda yake ila deki ndio ilishakuwa nyumba ya panya..he was a great actor kwa kweli... rip roby
 
Mcheza sinema na mchekeshaji maarufu wa hollywood Robin williams amefariki dunia. Will miss you mrs. daughtfire! Mrs daughtfire ni moja ya sinema zake maarufu. chanzo: cnn
 
picha plz tangia sa12 huja pata comment ata moja huu huenda ukawa uzushi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…