The Actor Robin Williams found dead at his Northern Califonia home

The Actor Robin Williams found dead at his Northern Califonia home

Apumzike kwa amani, nilikua napenda sana uigizaji wake.
 
Hii ni habari ya kushtua haswa...

Nakumbuka ni juzi juzi tu kama wiki na nusu imepita nilikuwa naangalia movie yake ya "The Angriest Man in Brooklyn" aliyoshirikiana na Mila Kunis ambapo aliigiza kama mgonjwa ambaye kimakosa aliambiwa na daktari kuwa ana dakika 90 tu za kuishi, na baadaye akafariki lakini ni baada ya siku 90...

Sasa mtu niliyekuwa naangalia naye movie hii kwa wakati huo akaniambia kama masikhara kuwa huyu bwana hana muda mrefu atafariki...

Sasa naona Robin kafariki, RW alikuwa ni mmoja wa comedians ninaopenda sana filamu zao na nilipenda sana kuangalia mara kwa mara filamu yake ya RV...
 
Ushauri Wangu Tusiwe Tunakimbilia Sana Kuwa Wa Kwanza Kuleta Taarifa Humu Wakati Ukiwa Bado Huna Data Za Kutosha Za Muhusika........... Huo Siyo Umri Wake Sahihi Na Nakupa Kazi Tena Tulia Msome Vizuri Kisha Uje Na Taarifa Zake Za Uhakika. JF Siyo Sehemu Ya Wakurupukaji bali Ni Sehemu Ya Ma Intellectuals wa Masuala Mbalimbali Ya Kimaisha na Kidunia. Samahani Kwa Mawazo Yangu haya Kama Yatakukwaza Mkuu ILA Tunarekebishana Tu Kimtindo!

Wewe ndo mkurupukaji mimi mfuatiliaji mzuri wa movie na namjua Robin Williams kuliko unavyofikiria alizaliwa mwaka 1951 na amefariki mwaka 2014 hata kama hesabu ulipata F, huwezi shindwa kokotoa hesabu ya darasa la pili, JF ni kwa watu makini na sio waropokaji kama wewe
 
R.I.P. Robbin. Will always remember you for MORK AND MINDE series.
 
Suicide is a selfish act .Dont feel sorry for him ,he wanted to end his life .
 
Wewe ndo mkurupukaji mimi mfuatiliaji mzuri wa movie na namjua Robin Williams kuliko unavyofikiria alizaliwa mwaka 1951 na amefariki mwaka 2014 hata kama hesabu ulipata F, huwezi shindwa kokotoa hesabu ya darasa la pili, JF ni kwa watu makini na sio waropokaji kama wewe
Hafadhali umemjibu .
 
Acha tuu dada angu yani kanikera kweli watu tunasikitika kumpoteza Actor wetu kipenzi cha wengi,alafu yeye analeta utoto wake humu.

Kuna watu wapo so negative duh !! Nilivyoona alichoandika I was like waw
 
It's so sad jamani, specially the way he died!

RIP RWs!
 
Baba jonii na komando kipenzi ndo maarufu huku uswazi kwetu, vp hawa bado wapo au washaachia?
 
Aliishi akifanya watu wacheke hakuwexa kujipa kicheko mwenyewe!
Dah!
Upumzike kwa Amani ,Mrs dougtfire!
I will miss those cashmiere swetaz!

Hata Licence to Wed hukukosea kwa kweli!
 
Wewe ndo mkurupukaji mimi mfuatiliaji mzuri wa movie na namjua Robin Williams kuliko unavyofikiria alizaliwa mwaka 1951 na amefariki mwaka 2014 hata kama hesabu ulipata F, huwezi shindwa kokotoa hesabu ya darasa la pili, JF ni kwa watu makini na sio waropokaji kama wewe

Umemaliza Wewe Msomi Wa BRN? Unamjua Huyo Robin Williams Kuliko hata Uwajuavyo Nduguzo Huko Mbwinde..........................Wabongo Bwana....... Ni Sheeeeeeedaaaah!
 
Back
Top Bottom