Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
huelewagi? mie ni korokoroni by profesheno. :llama:
Hahahaha muone ndio unaamka then wajiita krokroni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huelewagi? mie ni korokoroni by profesheno. :llama:
Ushauri Wangu Tusiwe Tunakimbilia Sana Kuwa Wa Kwanza Kuleta Taarifa Humu Wakati Ukiwa Bado Huna Data Za Kutosha Za Muhusika........... Huo Siyo Umri Wake Sahihi Na Nakupa Kazi Tena Tulia Msome Vizuri Kisha Uje Na Taarifa Zake Za Uhakika. JF Siyo Sehemu Ya Wakurupukaji bali Ni Sehemu Ya Ma Intellectuals wa Masuala Mbalimbali Ya Kimaisha na Kidunia. Samahani Kwa Mawazo Yangu haya Kama Yatakukwaza Mkuu ILA Tunarekebishana Tu Kimtindo!
Hafadhali umemjibu .Wewe ndo mkurupukaji mimi mfuatiliaji mzuri wa movie na namjua Robin Williams kuliko unavyofikiria alizaliwa mwaka 1951 na amefariki mwaka 2014 hata kama hesabu ulipata F, huwezi shindwa kokotoa hesabu ya darasa la pili, JF ni kwa watu makini na sio waropokaji kama wewe
Hafadhali umemjibu .
Acha tuu dada angu yani kanikera kweli watu tunasikitika kumpoteza Actor wetu kipenzi cha wengi,alafu yeye analeta utoto wake humu.
Hivi mkuu huwa unalala kweli? 24hrs umo tuu JF!!
Heheheheh you have made my dayUmejuaje kama halali kama hamshindi wote??
Ahahaah! mkuu bana!Umejuaje kama halali kama hamshindi wote??
Wewe ndo mkurupukaji mimi mfuatiliaji mzuri wa movie na namjua Robin Williams kuliko unavyofikiria alizaliwa mwaka 1951 na amefariki mwaka 2014 hata kama hesabu ulipata F, huwezi shindwa kokotoa hesabu ya darasa la pili, JF ni kwa watu makini na sio waropokaji kama wewe