mzee nimekupata sana kwa maelezo yako but naomba nikuelekeze kitu kitu kimoja even if mshahara ni makubaliano by huwa kuna scale ya mshahara katika hizi taasisi ni mara chache sana ukaenda kupewa mshahara mkubwa katika the same position kucompare na wenzako uliwakuta kwenye the same position wanapata kiasi gan,kitu cha pili muda ni mara na haina haja ya kwenda kwenye interview wakati unajua kabisa mshahara wanaolipa ni mdogo kiasi kwamba hauwez kukubali ,nataka kujua salary yao coz sitaki kupoteza muda wa kusafir kwenda kwenye interview bila kuwa na details za kutosha,kitu kingine inasaidia kufanya maamuzi ya kuenda au kutokuenda ili wengine waweze kupata hiyo nafasi,unaonaje nikienda bila details then nikakuta mshahara n other allowance sio nzur wakti kuna mtu angeweza kwenda na kukubali huo mshahara kama mm nisingeenda?,acha kuwa mbinafsi kaka