The Animal Farm Commandments - Before and After

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
If you read Animal Farm by George Orwell, then you know how the 7 emancipation commandments were changed by the pigs, lead by Napoleon, after they came to power.

1. Before :
Whatever goes upon two legs is an enemy.
1-After: Once the pigs start walking on two legs, two legs become better than four.

2-Before: Whatever goes upon four legs, or has wings, is a friend.
2-After: The pigs end up thinking any animal who walks on four legs or has wings is inferior.

3-Before: No animal shall wear clothes.
3-After: The pigs all end up wearing clothes.

4-Before: No animal shall sleep in a bed.
4-After: "No animal shall sleep in a bed with sheets"

5-Before: No animal shall drink alcohol.
5-After: "No animal shall drink alcohol to excess"

6-Before: No animal shall kill any other animal.
6-After:"No animal shall kill any other animal without cause"

7-Before: All animals are equal.
7-After:" All animals are equal, but some are more equal than others"

Anyone with full knowledge of the CHADEMA's Commandments before and after? I know this

Before: Tutapiga Vita Ufisadi hadi tuwakomboe Watanzania

After:
Ufisadi siyo ajenda yetu, tunachotaka ni kuiondoa CCM madarakani tu !?#^&

Who is Chadema's Napoleon?

How many other animals will be sold and slaughtered in order to keep up with the pigs' appetite?

Paza sauti, mboweee!!!
 
I find it hard to perceive know what you are driving at but to some of us CCM is synonymous with UFISADI. So if wanachotaka Chadema ni kuiondoa CCM madarakani which I strongly support, Chadema is still on the right track.

The problem with some of you people is that for some reason best known to yourselves, you aren't ready to face the naked truth that through CCM, UFISADI in Tanzania has been institutionalized.

To even imagine that we can get rid of UFISADI yet retain CCM is incomprehensible and am sure all those who advocate anything like that are just being disingenuous.
 
Ukiunganisha mafunzo ya methali hizi, utajua nina maana gani. Na vile vile ukifuatilia posts zangu zote hapa tangu mwaka 2006 ninajiunga na forum hii, utagundua kuwa sijawahi kuwa supporter wa CCM hata siku moja, lakini hii ya CHADEMA ni extereme sana, na inafanana kabisa na hiyo hadishi ya shamba la wanyama kama ulishasoma kijitabu hicho.

(1) Lisemwalo lipo, kama halipo basi laja.

Historia ya CHADEMA ineoanyesha kuwa Mbowe amekuwa anajiamulia mambo ya chama kama vile ni mali yake. Waliolalamikia hilo ni wengi sana katika list. Nilikuwa nikiamini kuwa kweli watu hao ni wasaliti lakini hii ya sasa imepruvu kuwa walikuwa sahihi kabisa. Kaburu, Wangwe, Kafulila, Arfi, wale vijana akina Shonza na wenzake sikumbuki majina yao, Zitto, Mwigamba, Profesa Mkumbo na sasa Dr Slaa. Trend hiyo inaonesha kuwa CHADEMA siyo chama kwa ajili ya watanzania bali ni chama kwa ajili ya Mbowe. Haiwezekani wote hao wawe ni watu wabaya, tunafahamu sana Slaa na Ziuto walivyojitokeza kuipa CHADEMA uamaarufu kutokana na ajenda hiyo ya ufisadi.

(2) Akumulikaye mchana basi usiku atakuchoma.

Kama Chadema wameanza kugeuka ajenda zilizowapa umaarufu miaka yote hii hawatashindwa kuwageuka wananchi wakati wakichaguliwa na kupewa madaraka. After all iwapo ajenda yao ni kuindoa CCM madarakani, wakishashinda uchaguzi watakauwa wamekamilisha ajenda hiyo na hivyo hawatakuwa na kufanya kwa miaka yote mitano inayofuata.

(3) Zimwi likujualo, halikuli likakwisha.

Ni afadhali kuendelea na zimwi letu CCM tunalojua linavyotutafuna na kutuachia pumzi kuliko kuvamia zimwi linalogeuka geuka tabia, huenda hili jipya likatutufana na kutumaliza hata pumzi.
 
Hii sentesi yako imenisikitisha kwamba ni bora tuendelee na CCM iliyojaa mafisadi, iliyochakachua katiba ya wananchi, iliyojaa rushwa, hospital hakuna dawa wakati viongozi wakitibiwa India, barabara mbovu, umeme hatuna, akina mama wakiendelea kujifungulia chini na nk. Wewe unaona ni bora tuendelea na haya mambo kuliko kujaribu upande wa pili?

Hakika watanzania tuna tatizo na tatizo letu ni uwoga wa kujaribu mabadiliko/au kitu kipya tumekalia CCM miaka zaidi ya 50, pamoja ubovu wa CCM ambao tumejaribu tena na tena kwa miaka 50 bado kuna watu wanataka tuendele na zimwi lile lile kisa kwa vile Lowassa yuko Chadema, kisa kwa vile Mbowe hakubaliani na baadhi ya viongozi wake jamani uongozi ni pamoja na kuchukua maamuzi magumu kwa faida ya chama si kwa faida ya viongozi na nk.

Na swali ambao halijajibiwa na Dr. Slaa, ni kwanini Dr,Slaa alimpeleka Lowassa Chadema?
Kwa jinsi nilivyokuwa ninaamini kila neno litokalo kinywani mwa Dr. Slaa, na kwa jinsi alivyokuwa ameniaminisha kuwa yeye anachukia ufasidi sikutegemea yeye kukaa na mshenga kuongelea ujio wa Lowassa Chadema. Kwa mantiki hii unaona hata Dr. Slaa hana dhamira ya dhati katika swala zima la ufisadi.

Kitu kingine tukatae tukubali siasa za Tanzania ni ngumu, Swala la ufisadi limeongelewa miaka 8, lakini wote tumeshuhudia matokeo ya ubunge pamoja na urais wa mwaka 2010. Hivi leo hii unategemea mtu wa kijijini uende kukamhubirie neno ufisadi ambalo amelisikia miaka 8 na utegemea ushindi? kama hakukupa kura mwaka 2010 wakti neno fisadi liko kwenye chati je huyu mtu ndio atakupa kura leo mwaka 2015? Chama cha siasa si dini (hata kwenye dini watu wanabadilika kutokana na mazingira) hivyo tunategemea chama cha siasa kusoma alama za nyakati na kubadilika kutoka na wakati, watu na mazingira yaliyokuzunguka.
 
Tunataka mabadiliko sana na ndiyo maana tulikuwa tunaisapoti sana CHADEMA. Kuanzia August na kuendelea CHADEMA siyo chama cha kuleta mabadiliko tena iwapo wale wale waliokuwa wavurugaji huko CCM ndio wanakuja kuichukua CHADEMA. Nyani hawezi kubadilika kuwa binadamau hata siku moja; kama alikuwa nyani CCM atabaki nyani hata akiwa CHADEMA.
 
Kwa maana nyingine kwa vile Lowassa kahamia Chadema basi hata mabadiliko hutaki? Unasema kuwa Chadema si chama cha kuleta mabadiliko tena hizi ni hisia za uwoga, uwoga ule niliyosema hapo mwanzo wa kutotaka kujaribu na hili si tatizo lako tu bali ni tatizo la watanzania walio wengi.. Jamani tujaribu kama wasipoleta hayo mabadiliko tuyatakayo si baada ya miaka 5 kuna uchaguzi tena?

Yaani na wewe umekula ile propaganda ya CCM kuwa ndani ya CCM fisadi, mwizi, mla rushwa ni Lowassa tu, kwamba kwa vile Lowassa ametoka basi CCM ni chama safi? kweli unaamini hiki kitu?

Inawezekana ujio wa Lowassa hakutupendeza wengi.. (maandishi yangu bado yako humu ndani) Lakini hisiwe sababu ya kutaka kuendelea na zimwi ulijualo hivi tumesahau matatizo tuyapatayo? Hasira zetu ya kukosa katiba wa wananchi zimekwenda wapi? hasira zetu za kukosa ajira zimekwenda wapi? je hivi tuache watoto wetu waendelee kukaa chini hali watoto wao wanasoma kwenye shule nzuri tena kwa kulipwa na pesa zetu? Hivi miaka 5 yote ya mateso tumevumilia kwa kuisubiri siku muhimu ya tarehe 25.10 leo unasema kwa vile Lowassa ni mgombea basi turudie mateso yale yale.. Mimi nasema hapana ngoja tujaribu na wengine tuone watafanya nini.. Watanzania tusiogope mabadiliko maana ili upate maendeleo ni lazima ujaribu hiki na kile na mwisho wa siku unafanikiwa hata nchi zilizoendelea ziliendelea kwa kuacha uoga wa kujaribu vitu mbali mbali..

Na pia unapotoa lawama kwa Mbowe kutokana na maamuzi yake ukasahau Dr. Slaa ndiye alikuwa mshenga wa Lowassa kuingia Chadema ndipo ninaposhindwa kuelewa kama hili swala ulifahamu au unalifahamu lakini unalikwepa!

Ningependa wewe utueleze sababu za Dr. Slaa kumkaribisha Lowassa mpaka kufikia kwenye maamuzi ya kumpitisha kuwa mgombea na kukimbia.. Je ulitegemea katika hali kama hiyo Mbowe afanye nini? (hapa naomba ufafanuzi wako)
 
Sijui kama uliseoma hii

(1) Lisemwalo lipo, kama halipo basi laja.

Historia ya CHADEMA ineoanyesha kuwa Mbowe amekuwa anajiamulia mambo ya chama kama vile ni mali yake. Waliolalamikia hilo ni wengi sana katika list. Nilikuwa nikiamini kuwa kweli watu hao ni wasaliti lakini hii ya sasa imepruvu kuwa walikuwa sahihi kabisa. Kaburu, Wangwe, Kafulila, Arfi, wale vijana akina Shonza na wenzake sikumbuki majina yao, Zitto, Mwigamba, Profesa Mkumbo na sasa Dr Slaa. Trend hiyo inaonesha kuwa CHADEMA siyo chama kwa ajili ya watanzania bali ni chama kwa ajili ya Mbowe. Haiwezekani wote hao wawe ni watu wabaya, tunafahamu sana Slaa na Ziuto walivyojitokeza kuipa CHADEMA uamaarufu kutokana na ajenda hiyo ya ufisadi.
je hao nilioweka rango wote niu walewale?
 
Yaani na wewe umekula ile propaganda ya CCM kuwa ndani ya CCM fisadi, mwizi, mla rushwa ni Lowassa tu, kwamba kwa vile Lowassa ametoka basi CCM ni chama safi? kweli unaamini hiki kitu?

Nadhani wewe unamuangalia Lowasa kama mtu mmoja bila kuangalia insitution nzima iliyoko nyuma yake. Mambo haya wengine tunayaona kwa mapana na kina zaidi wakati watu wengine wanayona kwa haraka haraka. Watu wa aina hiyo ya haraka haraka huwa ni vigumu kuwabadilisha. Kuna mbaguzi mmoja aliwahi kusema waafrika ukiwaandikia mkataba mrefu basi wanausaid bila hata kuusoma na kuuelewa. Hiyo ya kufanya mabo kwa haraka haraka bila kuyaangalia kwa kina ni ada yetu, hivyo sikulaumu
 
Mkuu Kichuguu, nikupongezaje?
Mimi nitasema yangu ya moyoni. Niliipenda sana CHADEMA walipokuwa na vision moja tu ya kwamba Wanapigania haki za wananchi na wakisema TAIFA kwanza. Lakini baada ya kuona sasa Chama kwanza na agenda yao sasa hivi ni KUIONDOA CCM madarakani, hii inakuwa agenda ya Chama na ndio maana wote walopingana na agenda hii walijikuta wanapoteza Uongozi.

Na wala hainishangazi sana kwa sababu MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO tunatafuta miaya ya Fursa maana sote ni Opportunist kutokana na Umaskini. Na Fursa kaa hizi adimu zinapojitokeza watu hupoteza hata UTU wao kwa sabau zao binafsi na hujengea sababu kwa nini wamefanya hivyo na zikaleta maana kwa wale wasojielewa kwamba hapa kila mtu anabeba msalaba wake.

UFISADI ni trend sio Utawala, ni hulka ya mtu na mtu katika mazoea yake/yao ili kujitajirisha kwa njia za mkato iwe hata kuhujumu uchumi wa nchi haitoshi. Ni crime ambayo hayawezi kuondosheka kwa matumaini bali watu wenyewe kulaani kitendo hicho kwanza kama tunavyolaani wauza unga hivyo hata Chadema kufikia kufanya maamuzi haya ni UFISADI wa aina yake. Chadema leo imehalalisha Mafisadi ndani ya chama kwa sababu ya kumuondoa CCM madarakani - Tutaelewa kweli?

Kesho baada ya Uchaguzi Chadema wakishindwa kuindoa CCM madarakani tutasema nini? Kesho Chadema wakiiondoa CCM madarakani na wakaendeleza UFISADI tutasema nini maana walishasema UFISADI sio Agenda yetu! Na wamesema hivyo kwa sababu wao wenyewe wamo Mafisadi..
 
Sijui kama uliseoma hii

je hao nilioweka rango wote niu walewale?

Nilisoma hayo..Je Mbowe ndo aliyewafukuza hao au ni vikao vya chama? Na hakusikia malalamiko kumhusu Zitto jinsi Mbowe alivyokuwa anamkigia kifua?

Arfi hakufukuzwa na Chadema bali alijiondoa tena juzi juzi. Shonza yalikuwa maamuzi ya Bavicha si Mbowe..

Vitu vingine hata kama unamchukia mtu basi jaribu kuwa mkweli tu..
 
Nadhani wewe unamuangalia Lowasa kama mtu mmoja bila kuangalia insitution nzima iliyoko nyuma yake. Mambo haya wengine tunayaona kwa mapana na kina zaidi wakati watu wengine wanayona kwa haraka haraka. Watu wa aina hiyo ya haraka haraka huwa ni vigumu kuwabadilisha. Kuna mbaguzi mmoja aliwahi kusema waafrika ukiwaandikia mkataba mrefu basi wanausaid bila hata kuusoma na kuuelewa. Hiyo ya kufanya mabo kwa haraka haraka bila kuyaangalia kwa kina ni ada yetu, hivyo sikulaumu

Nimekuuliza maswali hapo juu ila naona umehamua kuyadharau au sijui...

Tangu mwanzo nilikwambia kuwa sisi watanzania tuna uwoga wa mabadiliko, ukitaka kuleta mabadiliko unajiuliza maswali mengi in negatives way na mwisho unakuja na mhafaka wa zimwi ulijualo.

Kwanini tusiubadilishe huo mfano wako au hayo maono yako na kuwa positive.. Kwa sasa nchi yetu ilipofikia sitegemei kama kuna kiongozi yeyote ndani ya miaka 5 anaweza kufanya kitu kibaya zaidi kuliko yalivyofanywa miaka 15.. Yaani ile miaka 5 ya mwisho ya Mkapa na miaka 10 na Kikwete. Kama madini yameishachukuliwa, kama Gesi imeishaondoka (rejea Magufuli alisema wachina wamepewa miaka 7 ya utafiti), viwanda vimekufa, hospital hakuna madawa, shule hakuna vitendea kazi, kwa upande wa ajira ndio husiseme.. Sasa naomba uniambie ni kitu gani ambacho kinakutia uwoga ambacho hakijatokea na kinaweza kutokea baada ya Lowassa kuingia madaraka?.

Na ndio maana nasema tuondokane na huu uwoga tujaribu kama tusipopata tunachokitaka basi baada ya miaka 5 watakaa pembeni
 
Nilisoma hayo..Je Mbowe ndo aliyewafukuza hao au ni vikao vya chama? Na hakusikia malalamiko kumhusu Zitto jinsi Mbowe alivyokuwa anamkigia kifua?

Arfi hakufukuzwa na Chadema bali alijiondoa tena juzi juzi. Shonza yalikuwa maamuzi ya Bavicha si Mbowe..

Vitu vingine hata kama unamchukia mtu basi jaribu kuwa mkweli tu..

Dada Ailinda, wewe ndiyo hujatambua kuwa kwa wakati wote huu the puppet master alikuwa Mbowe. Hata kesi ya Zitto.
Hebu rejea picha ile ya viongozi waandamizi wa Chadema. Viongozi wote wameishia kuitwa wasaliti isipokuwa Mbowe.
Hiyo ndiyo Animal Farm for your information.
Hatutaki mabadiliko ya Animal Farm lakini mabadiliko ya kweli yatakayoleta mageuzi!
 
Ni kwanini wanaitwa wasaliti na nani kawaita wasaliti?

Swala la wewe kutotaka mabadiliko hiyo ni haki yako na pia tangu lini mnufaika na CCM akawa na mapenzi na mabadiliko?
 
Hii sentesi yako imenisikitisha kwamba ni bora tuendelee na CCM iliyojaa mafisadi, iliyochakachua katiba ya wananchi, iliyojaa rushwa, hospital hakuna dawa wakati viongozi wakitibiwa India, barabara mbovu, umeme hatuna, akina mama wakiendelea kujifungulia chini na nk. Wewe unaona ni bora tuendelea na haya mambo kuliko kujaribu upande wa pili?

Hakika watanzania tuna tatizo na tatizo letu ni uwoga wa kujaribu mabadiliko/au kitu kipya tumekalia CCM miaka zaidi ya 50, pamoja ubovu wa CCM ambao tumejaribu tena na tena kwa miaka 50 bado kuna watu wanataka tuendele na zimwi lile lile kisa kwa vile Lowassa yuko Chadema, kisa kwa vile Mbowe hakubaliani na baadhi ya viongozi wake jamani uongozi ni pamoja na kuchukua maamuzi magumu kwa faida ya chama si kwa faida ya viongozi na nk.

Na swali ambao halijajibiwa na Dr. Slaa, ni kwanini Dr,Slaa alimpeleka Lowassa Chadema?
Kwa jinsi nilivyokuwa ninaamini kila neno litokalo kinywani mwa Dr. Slaa, na kwa jinsi alivyokuwa ameniaminisha kuwa yeye anachukia ufasidi sikutegemea yeye kukaa na mshenga kuongelea ujio wa Lowassa Chadema. Kwa mantiki hii unaona hata Dr. Slaa hana dhamira ya dhati katika swala zima la ufisadi.

Kitu kingine tukatae tukubali siasa za Tanzania ni ngumu, Swala la ufisadi limeongelewa miaka 8, lakini wote tumeshuhudia matokeo ya ubunge pamoja na urais wa mwaka 2010. Hivi leo hii unategemea mtu wa kijijini uende kukamhubirie neno ufisadi ambalo amelisikia miaka 8 na utegemea ushindi? kama hakukupa kura mwaka 2010 wakti neno fisadi liko kwenye chati je huyu mtu ndio atakupa kura leo mwaka 2015? Chama cha siasa si dini (hata kwenye dini watu wanabadilika kutokana na mazingira) hivyo tunategemea chama cha siasa kusoma alama za nyakati na kubadilika kutoka na wakati, watu na mazingira yaliyokuzunguka.
Nafikiri sasa hivi unasikitika zaidi wakati wenzio wanahesabu mapato. Chama tawala kikigawanyiika huwa ni faida sana kwa vyama vya upinzani, lakini wapo chama tawala pamoja na vile vya upinzani vyote vikigawanyika basi inakuwa ni ngoma droo, na chama tawala kinakuwa na uhakika wa ushindi. Mbowe, Mtei na Lowassa wenu waliua kabisa matumaini ya watanzania na itachukua miaka mingine takribani ishiinir kwa watu kufifikia hamasa ya kisiasa kama iliyokuwa imefikiwa mwaka huu labda mapinduzi makubwa yafanyike ndani ya CHADEMA. Inawezekana watu wakaisubiri ACT ikomae.
 
Back
Top Bottom