Slow Pork Joe
New Member
- Jan 22, 2021
- 2
- 11
Baada ya vuta nikuvute kwa uchaguzi wa Marekani ni dhahiri kwamba tumeona Trump hakupewa ushirikiano na Chama chake cha Republicans, Sio Hivyo tu kwani tangu mwaka 1016 hadi 2018 chama hicho kilipokuwa kimeshukilia senate na house bado walikuwa ni mzigo kwa Trump.
Trump kaamua kuunda chama chake na kwa hali ilivvyo sioni kama atapata wakati mgumu kwa sababu Democrats watasapoti sana hiki kitu ili Republicans ipungue nguvu.
Ni Wamarekani zaidi ya milioni 80 wapo nyuma ya Trump, Huu ni mtaji tosha kwa Trump kuanzisha chama cha tatu Marekani chenye nguvu,
Kwa upande mwengine Biden anafanya mambo kwa pupa mno, Ana mpango wa kuruhusu maharamia wengi kuwa raia wa marekani kitu ambacho raia wa marekani kimewamiza mno, upande mwengine karuhusu wanaume waliobadili jinsia kuwa za kike waweza kuwa na haki za wanawake ikiwemo kushiriki michezo kitu ambacho kinapingwa vikali.