The Arusha East African Training Institute(TAEATI)

Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
4,641
Reaction score
3,680
Wana jamii forums na wadau wa elimu, kwa heshima na taadhima ninawakaribisha katika chuo chetu cha The Arusha East African Training Institute (TAEATI).Tafadhali soma maelezo zaidi hapa chini bila kusahau kutembelea website yetu
www.arushaeati.com kwa maelezo na maelekezo zaidi,pia unaweza kuwasiliana nasi kwa mawasiliano mbalimbali yaliyoko mwisho.NAKARIBISHA PIA MAONI,USHAURI NA MASWALI.Karibuni

THE ARUSHA EAST AFRICAN TRAINING
INSTITUTE (TAEATI)

Chuo cha The Arusha East African Training Institute (TAEATI), chini ya usimamizi wa Baraza la Habari
Tanzania MCT, kinatangaza nafasi za masomo kwa mwaka 2013 kwa kozi zifuatazo:

*BASIC CERTIFICATE IN JOURNALISM & RADIO/ TV BROADCASTING
*BASIC CERTIFICATE IN AUDIO, VIDEO PRODUCTION & GRAPHIC DESIGNING
*CERTIFICATE IN JOURNALISM & RADIO/ TV BROADCASTING
*CERTIFICATE IN SALES & MARKETING
*CERTIFICATE IN PUBLIC RELATIONS AND ADVERTISING
*CERTIFICATE IN COMMUNITY DEVELOPMENT & ENTREPRENEURSHIP
*ADVANCED CERIFICATE IN JOURNALISM & RADIO/ TV BROADCASTING
*DIPLOMA IN JOURNALISM

*SHORT COURSES IN LANGUAGE: [ ENGLISH, FRENCH, SPANISH, KISWAHILI]

Kozi zote zitaanza katika mihula minne tofauti ,muhula wa Januari,muhula wa Aprili, muhula wa Julai na muhula wa
Novemba kwa mwaka 2013. Unaweza kutuma maombi kwa muhula wowote utakaochagua wakati wowote.

SIFA ZA MWOMBAJI

CERTIFICATE- Mwombaji awe amemaliza kidato cha NNE na kupata
angalau alama ‘ D’ na kuendelea.

DIPLOMA- Mwombaji awe amemaliza kidato cha SITA au awe na Cheti cha Kozi
ya Uandishi wa Habari

MAMBO MUHIMU
• Chuo kinapokea wanafunzi kutoka vyuo vingine
• Wanafunzi 10 bora watakaofaulu vizuri watatafutiwa ajira ya kudumu
• Chuo kina studio ya Radio na TV ili kuwapika kwa vitendo Waandishi na Watangazaji wote kabla ya kuanza kazi
rasmi.

CHUO NA MAKAO MAKUU YA CHUO YAPO ARUSHA KATIKA JENGO LA DIPLOMAT MIANZINI
GOROFA YA 2 CHUMBA NAMBA 213 AU PIGA SIMU NO: 0753 810001, 0754 494316, 0766 810001, 0715 348782
AU WASILIANA NA MAWAKALA WETU KATIKA ENEO LAKO HUSIKA

Kwa maelezo zaidi tembelea website yetu:www.arushaeati.com
 
karibuni wadau kwa maswali mbalimbali tuwekane sawa!

Mkuu hiyo kozi ya Entreprenership huwa mnaitoa vipi? na mnalenga watu gani? na Ni Business skills tarining au Ni entreprenership training, make Entreprenership kikawaida nijuavyo haifundishwi
 
niliona mada yako kuhusu ujasiriamali kutofundishika,nikataka nikujibu kule lakini hapa panaweza kuwa mahali muafaka pia

kwako wewe nahisi maana ya kufundishwa na kufundishika ni pale unapoambiwa 1 + 1=2 kisha ukaenda ktk maisha halisi ukawa una gari moja ukanunua lingine hakika utakuwa nayo mawili

tofauti na unapofundisha ujasiriamali,huku tunasema 1+ 1=1plus!

naomba utulie sana upate kunielewa,mfano tunakuambia ujasiriamali ni pamoja na wewe kuitizama jamii,ukabuni hitajio,ukapeleka bidhaa eneo husika,wewe na mdogo wako mnaweza wote wawili mkafanya hivyo,wewe ukapata malaki,mdogo wako akapata mamilioni,ilichofundisha ujasiriamali ni kwamba ukifanya kitu flani there must be a reward

tunafundisha ujasiriamali kwa kukupa mawazo ya kijasiria mali,uthubutu wa ujasiriamali,akili za kijasiriamali mitizamo ya kijasiriamali na kadhalika,na mwisho tunakuambia ujasiriamali ni vitendo,nenda katende sasa na sio maneno kama mada yako ya mwaka wa vitendo zaidi inavyotaka!

naamini utakuwa umeanza kupata mwanga
 
Mkuu mimi nijuavyo Vyuo Kama Mzumbe, SUA, UD na kazalika vinafundisha Entreprenership kwa levo ya hadi PHD, Mzumbe kikiwa chuo cha kwanza Tanzania kuanza kutoa Degree, Lakini mkuu nakuhakikishia wale wate wanao graduate kule wako Maofisini wakilipwa pesa, wengine ambao hata mimi nawajua wako mtaani wakisaka kazi, UNAWEZA KUNIAMBIA NI KWA NINI?

Mkuu kinacho fundishwa na vyuo vingi ni Skills za Biashara na si Entreprenership, Vyuo vingi kikiwemo chenu kinafundisha
- Marketing managment
- Customer care
- Maswala ya Pricing
- Negotionation skills
- Business palning
- Finacial Plan
- Na kazalika

So hizi skills ndo vyuo vyote Duniani vinafundisha, ka Google prospectus za Vyuo vinavyo toa Entreprenership halafu angalia kozi za entreprenership,

Hii kozi ni Nzuri sana ila ni Kwa ambao tiyali wana sprit ya Ujasirimali yaani ni Rough Diamond abayo inaweza safishwa ikiwa Real One, kinacho takiwa ni kwa kozi za Entreprenership kujikita kwenye kutoa elimu kwa wale wenye mentality hiyo wenye spriti na ambao tiyali walisha anza biashara

Huko Bongo hii kozi inafundishwa kama Kozi zingine na inafundishwa na watu wanaandaliwa kwenda kutafuta Ajira, na hata huko kwenu ni hivyo hivyo wakija siku ya kwanza watawauliza kama hii kozi mtu anaweza pata kazi, Nina ushahidi wa Kutoka Chuo fulani kinacho toa hii kozi kwa levo ya Degree, Mhaziri anaingia Darasana na kuwapa moyo kwamba Kazi mtapata msiwe na wasi wasi kwani weote walio maliza hii kozi wana kazi katika Mabenki, na tasisi zingine,
Hebu cheki hapo
HII KOZI MKIBADILI UFUNDISHAJI WAKE NA APROCH YAKE INAWEZA KUWALIPA KULIKO HATATA HIZO KOZI ZINGINE,
Kuna Aproach za kufundisha watu skills za Biashara ambazo zinatumiwa na Nchi kama India na China, Ila si kwa staili hii ya vyio vyetu kutoa Phd wakati wanao pewa hiyo Phd wanaogopa hata kuanzisha biashara ya kibanda cha Kujisha simu

kiongozi, nimefurahishwa sana na mchango wako wa mawazo yako!umeongea yote mazuri,umefungua mjadala na kupitia mijadala (sio mabishano) ndipo mawazo endelevu yanapozaliwa na watu wenye maarifa huyatekeleza kwa vitendo mawazo hayo na kuweza kuboresha maisha yao na jamii husika kwa ujumla!

nimekubaliana na mawazo yako kwa vile nilikuwa nayo mawazo kama hayo,nilishakiona unachokiona na nilikwisha kiwekea mikakati hicho ulichokiona,na sasa kupitia taasisi yangu hii ya elimu naenda kutekeleza kwa vitendo kuibadilisha na kuipeleka jamii yangu ktk hali bora zaidi

nimefurahishwa zaidi na mawazo yako kwa vile unajua pia nini hakijafanyika na kinapaswa kufanywa,sentensi yako "hii kozi mkibadili ufundishaji wake" imenigusa sana na kuweza kujua unajua unachoongea na nikuhakikishie tunaboresha mambo katika namna itakayotoa matunda kwa kila mdau katika nchi hii na ukanda wa afrika mashariki.

na la ziada,mimi mwenyewe Chizenga,maisha yangu yenyewe ni nembo ya ujasiriamali!siku nyingine tukikutana live tunaweza kuzungumza zaidi,napatikana katika 0754348782,0715348782 kwa mawasiliano zaidi ukipenda!naishi Arusha lakini Tanzania yote ni yangu.Asante
 
Yani mkuu umenifuraisha sana..jinsi ilivyomuelewa jamaa na kuahidi kufanyia kazi mawazo yake ni Japo zuri sana.
Nimejifunza kitu kutoka kwa mkuu..kila la kheri pia ktk Harakati za kuboresha chuo chenu.
 
mkuu mimi nijuavyo vyuo kama mzumbe, sua, ud na kazalika vinafundisha entreprenership kwa levo ya hadi phd, mzumbe kikiwa chuo cha kwanza tanzania kuanza kutoa degree, lakini mkuu nakuhakikishia wale wate wanao graduate kule wako maofisini wakilipwa pesa, wengine ambao hata mimi nawajua wako mtaani wakisaka kazi, unaweza kuniambia ni kwa nini?

Mkuu kinacho fundishwa na vyuo vingi ni skills za biashara na si entreprenership, vyuo vingi kikiwemo chenu kinafundisha
- marketing managment
- customer care
- maswala ya pricing
- negotionation skills
- business palning
- finacial plan
- na kazalika

so hizi skills ndo vyuo vyote duniani vinafundisha, ka google prospectus za vyuo vinavyo toa entreprenership halafu angalia kozi za entreprenership,

hii kozi ni nzuri sana ila ni kwa ambao tiyali wana sprit ya ujasirimali yaani ni rough diamond abayo inaweza safishwa ikiwa real one, kinacho takiwa ni kwa kozi za entreprenership kujikita kwenye kutoa elimu kwa wale wenye mentality hiyo wenye spriti na ambao tiyali walisha anza biashara

huko bongo hii kozi inafundishwa kama kozi zingine na inafundishwa na watu wanaandaliwa kwenda kutafuta ajira, na hata huko kwenu ni hivyo hivyo wakija siku ya kwanza watawauliza kama hii kozi mtu anaweza pata kazi, nina ushahidi wa kutoka chuo fulani kinacho toa hii kozi kwa levo ya degree, mhaziri anaingia darasana na kuwapa moyo kwamba kazi mtapata msiwe na wasi wasi kwani weote walio maliza hii kozi wana kazi katika mabenki, na tasisi zingine,
hebu cheki hapo
hii kozi mkibadili ufundishaji wake na aproch yake inaweza kuwalipa kuliko hatata hizo kozi zingine,
kuna aproach za kufundisha watu skills za biashara ambazo zinatumiwa na nchi kama india na china, ila si kwa staili hii ya vyio vyetu kutoa phd wakati wanao pewa hiyo phd wanaogopa hata kuanzisha biashara ya kibanda cha kujisha simu

mi nadhani pia watu hawana moyo huo,yaani spirit ya ujasiriamali huja lakini haisomewi,ila skillls za ujasiliamali ndo zinasomewa."you have all formula ,why you are not use it?"so phd ya entrepreshp haimpi mtu spirit bali mtu mwenyewe inabidi awe na spirit .
 
Back
Top Bottom