The Atheists Paradox

1. Kuishi ni pale tu unapokuwa hai
2. Kwa kuwa tunaambiwa Mungu ndie aliyetuumba yeye anasema ametuumba ili tumuabudu, tuzaane na mwisho tutarudi kwake
3. Tumewekewa ukomo duniani tunatoka kutoka sehemu moja kwenda kwengine kupitia kifo
Sasa Mungu anapata faida gani mnaposhinda makanisani na misikitini kumwabaudu
Au ni mpenda sifa tu ?
 
Sasa Mungu anapata faida gani mnaposhinda makanisani na misikitini kumwabaudu
Au ni mpenda sifa tu ?
Mpenda sifa hiyo ni kweli hata wewe wanao unapenda wakutukuze au sio 😳 😳
 
Hivi mtanijibu vipi maswali haya Atehists !

1. Maisha au kuishi ni nini ?

2. Je ni yapi malengo ya sisi kushi au kuwepo duniani ?

3. Kwanini tunakufa ?
Kwanza tafasiri Mujarab ya neno Atheist halafu tuendelee..
 
Shida ni Mungu mnayemhubiri kuwa na sifa za kibinadamu_hilo Tu
Embu niambie ni sifa zipi ambazo anazo Mila muumba ni kama za binadamu au ni sifa za binadamu.

Na itakuwa vizuri sana ukitoa ulingano wa sifa,mathalani,ukizungumzia sifa ya kusikia pia uonyeshe ulingano wa kusikia wa Mola mlezi unafanana vipi na kusikia kwa binadamu. Ukifanya hivyo utakuwa umetusaidia sana hasa hasa mimi.
 
Usitupange mungu hayupo.
 
Kwanza kabla ya yote

Unaamini katika nini wewe..?

Nisije nikabanisha sifa zisizoendana na Mungu wako ikawa shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…