Huwaga bado siamini kama hii Dunia ina hao watu wanaojiita Atheists, huwa naamni kuna wapagani tuu,
Ingawa utafiti wangu SI RASMI ila naamini kwamba, binadamu anaye "Jiaminisha" kwamba haamini uwepo wa MUNGU ni yule ambaye hajafikia tamati /ukomo au kilele cha mwisho wa uwezo wake kama binadamu
Wazungu huwa wanatumia, "No way out" Na "Point of no return" kuashiria ukomo wa uwezo wa ki binadamu, hapo huwa naamini kuna fikra huja kichwani kwamba kuna mtu/kiumbe/roho au uwezo somewhere anaweza kukutoa hapo ulipo kukuonesha point of return/way out (Wewe kama wewe)
I believe hiyo fikra ni kwa kila binadamu, regardless umewahi kumskia MUNGU au laa!!
"Anayejiamisha" Absence ya MUNGU, wengi wao huchanganywa na deliverance ya mafundisho ya dini, pale unapoanza ku reason:
Tufanye mfano mmoja: Waadzabe ni jamii ya watu ambao hawana fundisho la MUNGU mmoja (sina uhakika, nimetumia kigezo cha ustaarabu wao) na hawajawahi kusikia suala la MUNGU
Huyu huyu Mu adzabe, anapofanya jambo likafika ukomo wake, aidha yu karibu na kifo na anataka kuepuka, je Unadhani haamini kuna nguvu nje yake inayoweza kumtoa na balaa hilo? And am surely confirm GOD with my mock evidences, huyu mtu anaweza asiite MUNGU ila akawa na imani kwamba something somewhere can evacuate him
Hakuna "Self proclaimed-claimed atheist" Kwenye Historia ya Ulimwengu kama Steve Jobs, lakini alikiri uwepo wa MUNGU kwenye deathbed
kwa hiyo its a matter of dimension, upo katika hali gani ya kumjua MUNGU