kwa kuongezea kwa
King'asti, nunua deepfrier kwa ajili ya vyakula kaa
chips na kuku,nk ambavyo utatosa kwa mafuta, hakikisha sufuria ni non sticky, na vyombo ni dish washing, usiache kununua axion kwaajili a kuoshea vyombo na pot scrubber.
coffee maker inakuhusu kwaajili ya
kahawa ama chai, na salad maker hii itakusaidia kutengenezea salad has kwenye chopping, pia blender kwaajili ya juice. friji nunua yenye water dspenser ili ukwepe maji ya vichupa.
kwa kuhifadhi vitu kwenye jokofu nunua plastic tins, na fridge jug kwaajili ya juice. kama ni mtu wa berbcue nunua meat berbecue, na kama ni mpenzi wa chapati nunua frying pan ya umeme. egg boiler usisahau. nimesahau nini tenaa ngoja nikumbuke nitarudi kukwambia.