King'asti ingawa mi si muanzisha thread ila nakupa bonge la THANKS...umenifunza mambo.
Btw mi sina rice cooker maana sipikag maharage aisee nkitaka kuyala naenda mgahawani tu.
I meant to say PESSURE COOKER..maana tangu nikiwa mdogo sikuwahi kuelewa ile kitu inavofanya kazi.
Chungu kwenye jiko la umeme? Even shape yake tu is not economically supported na jiko la umeme. Unalazimishia banaa, haya chukua kombe baba.
luv you much inaonekana unafahamu mambo mengi sana safiiiiUnahitaji friji yenye kifriza (kwa ajili ya kuweka mikate fresh). Kuna sandwich maker, hii unatumia kuchoma sandwich. Unaweza kutengeneza nyama ya kusaga ama ya kuku na kabichi kibao ukahifadhi. Then unatengeneza sandwich, its a quick meal anytime.
Microwave nayo yenye steamer na grill ni mwake mwake. Unaweka mazagazaga ukimaliza kuoga msosi tayari. Inapasha na kudefrost akiba za viporo pia.
Heshima kwenu brothers and sisters
Msaada wa vifaa muhimu vinavyorahisisha kupika kama Rice cooker kwenye wali, pressure cooker kwenye maharage na nyama etc kama kuna vingine mnavijua vimwageni hapa na kazi zake kama vipi tukavisake maana hivi vifaa muhimu especially kwa sisi mabachelor ili tujipige pige tuwe navyo maana kula magengeni napo kunachosha...
Naomba majina ya vifaa vinavyoweza kurahisisha kufanya kazi zifuatazo
1. Kupika supu
2. Kutengeneza mboga ya haraka
3. Na vinginevyo nisivyovijua ambavyo vinarahisisha mapishi hata cha kusonga ugali kama kipo kimwageni..
kwa kuongezea kwa King'asti, nunua deepfrier kwa ajili ya vyakula kaa chips na kuku,nk ambavyo utatosa kwa mafuta, hakikisha sufuria ni non sticky, na vyombo ni dish washing, usiache kununua axion kwaajili a kuoshea vyombo na pot scrubber.
coffee maker inakuhusu kwaajili ya kahawa ama chai, na salad maker hii itakusaidia kutengenezea salad has kwenye chopping, pia blender kwaajili ya juice. friji nunua yenye water dspenser ili ukwepe maji ya vichupa.
kwa kuhifadhi vitu kwenye jokofu nunua plastic tins, na fridge jug kwaajili ya juice. kama ni mtu wa berbcue nunua meat berbecue, na kama ni mpenzi wa chapati nunua frying pan ya umeme. egg boiler usisahau. nimesahau nini tenaa ngoja nikumbuke nitarudi kukwambia.

ndugu yangu hebu fikiria kuoa pia ila naona wadau wameshakupa mengi ya kukusaidia naamini una wezo wa kuoa kabisa sijui unashindwa nini.
kwa kuongezea kwa King'asti, nunua deepfrier kwa ajili ya vyakula kaa chips na kuku,nk ambavyo utatosa kwa mafuta, hakikisha sufuria ni non sticky, na vyombo ni dish washing, usiache kununua axion kwaajili a kuoshea vyombo na pot scrubber.
coffee maker inakuhusu kwaajili ya kahawa ama chai, na salad maker hii itakusaidia kutengenezea salad has kwenye chopping, pia blender kwaajili ya juice. friji nunua yenye water dspenser ili ukwepe maji ya vichupa.
kwa kuhifadhi vitu kwenye jokofu nunua plastic tins, na fridge jug kwaajili ya juice. kama ni mtu wa berbcue nunua meat berbecue, na kama ni mpenzi wa chapati nunua frying pan ya umeme. egg boiler usisahau. nimesahau nini tenaa ngoja nikumbuke nitarudi kukwambia.
Mentor ,mimi ni mpenzi wa maharage but kwa jiko la gesi usinunue maharage makavu nunua mabichi hayo unapika dakika 10 yameiva kwenye jiko la gasKing'asti ingawa mi si muanzisha thread ila nakupa bonge la THANKS...umenifunza mambo.
Btw mi sina rice cooker maana sipikag maharage aisee nkitaka kuyala naenda mgahawani tu.
gfsonwin luv you
Nadhani hujamwelewa, amesema anaomba kusaidiwa kujua vifaa vya jikoni na sio kupunguza nguvu za kiume
Ha ha ha! Vyungu viko vya aina nyingi sana, sio hicho ulichokiona kwenye picha hapo tu.
Ndio maana vipikio kama sufuria aina nyingi huitwa "cooking pots". Fuatilia historia na "advanced technologies" za mapishi utajua. Hata "slow cooker" ambayo inapika vyakula karibu vyote inatumia chungu ndani yake japo ni ya umeme.
NILISAHAU kushauri juu ya SLOW COOKER, hii unaweza ukaiset asubuhi ukienda job na ukarudi home ukapakua msosi wa aina mbalimbali. Kuanzia soup, wali (aina aina), makande....
Pia jiko la Induction (INDUCTION COOKER) ni zuri sana na salama kwa mapishi. Linatumia umeme economicaly.
Hili linapatikana maduka ya kati ya jiji la Dsm. You can google for ana overview.
Usisahau bread maker ili usipate shida kununua mikate...