hata hii kitu ni muhimu kuwa navyo kwa vyakulaa mbavyo ni vibishi kuiva . lol
Heshima kwenu brothers and sisters
Msaada wa vifaa muhimu vinavyorahisisha kupika kama Rice cooker kwenye wali, pressure cooker kwenye maharage na nyama etc kama kuna vingine mnavijua vimwageni hapa na kazi zake kama vipi tukavisake maana hivi vifaa muhimu especially kwa sisi mabachelor ili tujipige pige tuwe navyo maana kula magengeni napo kunachosha...
Naomba majina ya vifaa vinavyoweza kurahisisha kufanya kazi zifuatazo
1. Kupika supu
2. Kutengeneza mboga ya haraka
3. Na vinginevyo nisivyovijua ambavyo vinarahisisha mapishi hata cha kusonga ugali kama kipo kimwageni..
karibu sana Mentor
mhhhh,huo mkono wa shemeji nini?napenda wazungu jamaniUshauri wangu wa mabachelor kwenye mambo ya shuka, kweli sishauri ununue shuka nyeupe unless you're real neat guy kama Bujibuji.
Chengine tafute haya mashuka yanayoitwa fitted bedsheet, zenyewe zinakuwa hivi, maana zina lastic kwahiyo kitanda kinakuwa hakivurugiki unawezajigaragaza still kitu kimetulia. Kwawale wavivu wa kutandika kama mimi lol
Hapa baada ya kutandika
Non stick cookware, hapo ni sufuria na frying pan ya mayai/chips.
Electric Hot pot cooker unapika chochote hapo, ni sufuria na cooker at the same time. Nililitumia sana colleage days.
Rice Cooker, unaweza kusteam pia.
Pressure cooker, hii ni kwa chakula kigumu kuiva kama maharage na nyama.
mkuu ipo machine ya kuoshea vyombo pia. Ulizia hio itakurahisishia mbonamimi niko navyo tayari ila kuosha vyombo mmmmh
Kwa experience yangu izi non stick kuzipata hapa bongo, ni almost impossible. Dukani watakwambia non stick, ila ukishaiosha mara chache ile layer ya juu inachubuka na ndio imetoka. real non stick haitakiwi kuchubuka kiiyo.
King'asti kama unajua zinapopatikana, naomba nielekeze tafadhali.
Imagine bado....