Hii battle ya frozen lake nilijua Jon atakufa aiseeKuna ile hardome na ile battle of the frozen lake.... nazipenda sana
Tormund alikaza sana pale, Hivi ni nani alirusha jiwe wakati wamezungukwa na army of the dead yakagundua kumbe yanaweza yakapita kuwasogelea juu ya frozen lake?πππMm nilijua Tarmund lazima afe hapa..penye roho ilinikaa juu hadi nikaona jon aadedi ni hapo battle of bastard
Yaani mi nilijua hachomoki mtu pale ππ Alafu yule king of the white walkers alivyomfufua yule dragon nakuanza kumtumia yeye nilipatwa na kihoro/ alosto ya S8 nijue watamuuwaje yule dragon maana alikuwa ni shidaπSendor clegane ndio alirusha jiwe..jinga sana yule chizi