Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo kwenye Nyekundu mbona utata au ni population ya watu wote katika sayari zinazozunguka jua???!
Mkuu "cumulative audience" ni idadi ya watu watakaongalia mechi zote kuanzia mechi ya kwanza hadi fainali, kumbuka population ya dunia ni bilioni 5 na ushee. Kwa mfano kama mechi zote mbili za jana watu bilioni 1 waliangalia kila mechi basi "cumulative audience" tutasema mechi za jana ziliangaliwa na watu bilioni mbili Ulimwenguni na inawezekana kabisa wakawa ni wale wale wapenzi na washabiki wa kandanda Ulimwenguni.
Mkuu mapicha yako haya yananimaliza sana, nimeshangaa sana VDG hakuhudhuria ufunguzi wa kombe la dunia naona kelele za kusafiri sana zinamgusa kwa namna moja au nyingine au ndiyo mwaka wa uchaguzi.