damian marijani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2010
- 695
- 466
Hapa Bongo mbegu za bangi zinatumika kumsaidia mama anayenyonyesha kutoa maziwa ya kutosha. Wanyalukolo wanaijua sana hii si lazima uende kwenye Wikipedia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BANGI! yanapopatikana nadhani umeshajua!kwa Tz yanaweza kupatikana?na ni wapi? kwa kiswahili yanaitwaje?
BANGI! yanapopatikana nadhani umeshajua!
Hi any one anaejua cannabis oil anielekeze jamani mie na mgonjwa yuko serious with cancer please nijulishe hata leo nitafute
Something good eaten (taken orally) does not necessarily mean its good when smoked...
Even when you smoke any food (ugali, chapati, ndizi n.k.) am sure there will be big side effects
Bwana msomi niambie bangi ya mboga ile tunayofanya kama mchicha tunaiunga kwa nazi nyie wasomi mnaiitaje? na ile ya tunayoitumia kama dawa ya sikio nyie wasomi mnaiitaje?Unaposema neno BANGI (Unamaanisha kuvuta) Unakuwa unapotosha, Cannabis oil na Bangi ya kuvuta ni vitu viwili tofauti. Kuwa msomi na sio kusema tu unachotaka, USIPOTOSHE. Cannabis oil ya viwandani kwa ajili ya tiba inatolewa THC.
Bwana msomi niambie bangi ya mboga ile tunayofanya kama mchicha tunaiunga kwa nazi nyie wasomi mnaiitaje? na ile ya tunayoitumia kama dawa ya sikio nyie wasomi mnaiitaje?
sasa bana msomi kwa nini uliniita mpotoshi kwa kuwa tu nimeita bangi?mimi (usiwaambie polisi tafadhali)nakula bagi ,ipo maridadi sana kwa sembe pembeni samaki wa kukaanga,sikio likileta ugomvi tunalisikilizisha bangi!na kweli wakati mwingine tunajiburudisha kwa njia usiyoipenda ya moshi!Inayofanywa kama mchicha siifahamu maana sijawahi kuiona, ila nasikia kuna makabila kama wahandzabe tangu miaka na miaka kabla ya ukoloni walikuwa wanatumia kama mboga. Ila Hemp oil inaweza kutumika kama mafuta ya kupikia na ndio kazi yake kubwa na ya muhimu sana mwilini mwa mwanadamu maana yana Omega 3 na Omega 6 ambayo huipati katika mafuta, wala mboga wala matunda.
Kuhusu masikioni hata Hemp oil unaweza kuitumia, au jani bichi unalikamua sikioni maji yake yaingie ndani ya sikio, Ni dawa nzuri na ilishawahi kunitibu.
sasa bana msomi kwa nini uliniita mpotoshi kwa kuwa tu nimeita bangi?mimi (usiwaambie polisi tafadhali)nakula bagi ,ipo maridadi sana kwa sembe pembeni samaki wa kukaanga,sikio likileta ugomvi tunalisikilizisha bangi!na kweli wakati mwingine tunajiburudisha kwa njia usiyoipenda ya moshi!
Alcohol, tobacco, marijuana, caffeine and refined sugar are among the most commonly used, potentially habit-forming recreational substances. All are best left out of our daily diets. Only marijuana is illegal, though alcohol and tobacco are clearly more harmful. In several respects, even sugar poses more of a threat to our nation's health than pot.
Alcohol is illegal for kids because it is harmful for developing minds. Why not do the same with pot? It's not like marijuana is illegal because of harmful side effects anyways. Hungry, happy, sleepy. Those are the effects. An adult user of cigarettes can expect to get cancer in the near future but not to Pot users, Beside Pots cures cancer.
Love it! love it!love it!love it!love it!Nakumbuka ulisema "BANGI! yanapopatikana nadhani umeshajua!"
So, kwa mtu ambaye hajui atakuelewa vibaya, Hemp oil ni tofauti kidogo na BANGI, Japokuwa Hemp Oil inatengenezwa na mbegu na fibers za Cannabis na haina THC ambayo wavutaji ndio wanaitaka.
Hemp Oil ni tofauti na Cannabis ya kuvuta, wala ya kula.
Bangi na Pombe bora bangi na kila daktari anashauri hivyo. Sema tu Marijuana iheshimiwe kama Pombe inavyoheshimiwa, Marijuana isitumike kwa chini ya Umri wa miaka 21 sio vyema maana utafiti unasema inawezekana kukawa na madhara katika ukuaji kama ilivyo Pombe under 18.
Lakini kwa miaka 21 kwenda mbele HAKUNA USHAHIDI KUWA INA MADHARA.
Why marijuana should be legal for adults - CNN.com