Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,075
Mamemba wa mmu hebu nisaidieni kutegua hiki kitendawili.Kinahusu hizi avatars.Kwa muda mrefu nimekuwa najaribu kupata mwelekeo wa hizi avatars na nimekonklud kwamba:
Avatars za kinamama wengi ni picha za walimbwende mashallah,yaani wamekaa ki miss tz. Uongo jamani ? hebu nambieni mnazionaje avatar za kina MJ1,Lizzy,Jichola3,AshaDii,Susy,Preta,feisbuku,Bebii,Nemo,Husninyo,Kisukari,Smile,AD,Nyamayao,Rose1980 na wengineo,si zinachengua jamani? No wonder wengine kama akina MJ1 wamefikia hata hatua ya ku block PM zisiingie kwenye inbox zao maana wakware wengi wa mmu wanawasarandia.
Turudi kwa kinababa,angalia avatar kama ya Bishanga (sura utadhani kaokotwa dampo), Rejao (ukiweka picha yake mbele ya mtoto anayelia ukamwambia 'dudu hiyo',ananyamaza hapo hapo), Nyaningabu (afadhali kidogo),Aspirin (mmmhhhhh), KiranjaMkuu(meno ka faru), Rev Masanilo (utadhani ana kwashakoo),Teamo (mbabe flan hivi),Masikini jeuri(olalalah) , Fidel80 (utadhani mchimba madini wa nyarugusu),Director1(ka vile yuko kandahar),yaani afadhali mamemba kama akina TF,The Boss,Mtambuzi na Mr Rocky.
Sasa mimi najiuliza hii tofauti ya mentality katika kuchagua avatar kati ya kina baba na kina mama inatokana na nini hasa? maana kiukweli hizi wala sio sura zetu halisi na besides hakuna anayetufahamu humu.Why should kinamama take all the trouble to look at their best (hata kwenye avatar),na kina baba hobela hobela utadhani wameajiriwa na jiji kusafisha mandela road?