The beauty and the ugly.

The beauty and the ugly.

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,075
Mamemba wa mmu hebu nisaidieni kutegua hiki kitendawili.Kinahusu hizi avatars.Kwa muda mrefu nimekuwa najaribu kupata mwelekeo wa hizi avatars na nimekonklud kwamba:
Avatars za kinamama wengi ni picha za walimbwende mashallah,yaani wamekaa ki miss tz. Uongo jamani ? hebu nambieni mnazionaje avatar za kina MJ1,Lizzy,Jichola3,AshaDii,Susy,Preta,feisbuku,Bebii,Nemo,Husninyo,Kisukari,Smile,AD,Nyamayao,Rose1980 na wengineo,si zinachengua jamani? No wonder wengine kama akina MJ1 wamefikia hata hatua ya ku block PM zisiingie kwenye inbox zao maana wakware wengi wa mmu wanawasarandia.
Turudi kwa kinababa,angalia avatar kama ya Bishanga (sura utadhani kaokotwa dampo), Rejao (ukiweka picha yake mbele ya mtoto anayelia ukamwambia 'dudu hiyo',ananyamaza hapo hapo), Nyaningabu (afadhali kidogo),Aspirin (mmmhhhhh), KiranjaMkuu(meno ka faru), Rev Masanilo (utadhani ana kwashakoo),Teamo (mbabe flan hivi),Masikini jeuri(olalalah) , Fidel80 (utadhani mchimba madini wa nyarugusu),Director1(ka vile yuko kandahar),yaani afadhali mamemba kama akina TF,The Boss,Mtambuzi na Mr Rocky.

Sasa mimi najiuliza hii tofauti ya mentality katika kuchagua avatar kati ya kina baba na kina mama inatokana na nini hasa? maana kiukweli hizi wala sio sura zetu halisi na besides hakuna anayetufahamu humu.Why should kinamama take all the trouble to look at their best (hata kwenye avatar),na kina baba hobela hobela utadhani wameajiriwa na jiji kusafisha mandela road?
 
profilepic42040_2.gif.jpg

B' the above is my original Avatar na nilikua naipenda for the simple reason kua it does not give any idea ya mtu uko vipi which mara nyingi is very misleading... Na most importantly is because i LOVE the Movie and it's Director (J. Cameroon) Yaani mtu waweza ogopa onanana na member sababu tu ya Avatar uloweka....lol... (imagine kuna members hufikiria mie mwarabu! yaani yupo chaka kabisa!) Unaonana nae anajisemesha Khaa! ADI mwenyewe ndo huyu???? Wewe ni mmoja wa watu ambao ulinishauri saaana niitoe ukidai yakutisha, sasa with this thread, i believe time imefika ya kuirudisha.....
 
Mkuu sometime unaweza sema kuwa Avatar ya mtu inaweza kwa namna fulani kuakisi the way mtu alivyo kama ni mwanamke unajua tena
Inaonyesha kuwa wana uzuri ambao may be unakaribia huo wa picha
Na wanaume unatujua tena kama kawaida vurugu vurugu tuu
 
hahahahahahaha!!! kina baba mambo yenu vululu vululu. lol. bishanga mi sina avatar umenisingizia.
 
mmmmhhhh hapana mama,it is scary , lol! wengine tutaogopa hata kusoma post zako.
 
hahahahahahaha!!! kina baba mambo yenu vululu vululu. lol. bishanga mi sina avatar umenisingizia.

Husny kuna siku niliweka Avatar kama kwa nusu saa hivi nikaambiwa ni wewe by Bak.... Nikaitoa haraka saaana.....lol

images.jpg
 
hahahahahahaha!!! kina baba mambo yenu vululu vululu. lol. bishanga mi sina avatar umenisingizia.
nilikuwa nakutega nione utasemaje,ndo mana kwenye foleni nikakutumbukiza katikati,za wenzio kinamama unazionaje?
 
Mkuu sometime unaweza sema kuwa Avatar ya mtu inaweza kwa namna fulani kuakisi the way mtu alivyo kama ni mwanamke unajua tena
Inaonyesha kuwa wana uzuri ambao may be unakaribia huo wa picha
Na wanaume unatujua tena kama kawaida vurugu vurugu tuu

na huo mnokia tochi wako huo,mmmhhh,vurugu vurugu!
 
na huo mnokia tochi wako huo,mmmhhh,vurugu vurugu!

Wacha fujo bana
Si unaona natangaza njia mpya za kuepuka kusumbuka unakpopigiwa simu ukiwa shamba huna haja ya kuichafua unaweka tuu sikioni unaendelea na mambo
Ila naipenda sana movie ya Nick Cannon na Christina Milan ya "Love Doesnt Cost a Thing" ndo maana nikamweka Nick kama profile Pic
 
Inatokana na interest ya mtu...mawazo au hata reflection ya alivyo.
Hata hizo za wababa unazosema ziko vuluvulu zina maana nyuma yake.
maybe...just may be,usijekuta avatar nyingine tunazichagua unconsciously.
 
Wacha fujo bana
Si unaona natangaza njia mpya za kuepuka kusumbuka unakpopigiwa simu ukiwa shamba huna haja ya kuichafua unaweka tuu sikioni unaendelea na mambo
Ila naipenda sana movie ya Nick Cannon na Christina Milan ya "Love Doesnt Cost a Thing" ndo maana nikamweka Nick kama profile Pic
Ndugu yangu hao kina Nick nawajua basi? ungeniambia Guliano gemma,hema malini,amitah bachan,chale mnene na chale mwembamba.......hao wakati nakua ndo walikuwa ma superstar wa sinema.
 
Ndugu yangu hao kina Nick nawajua basi? ungeniambia Guliano gemma,hema malini,amitah bachan,chale mnene na chale mwembamba.......hao wakati nakua ndo walikuwa ma superstar wa sinema.

Duh mkuu hapo nimetoka kapa hata kumpata mmoja hapo sijaambua
ngoja nitafute picha yake nikuwekee kabisa umuone
 
nilikuwa nakutega nione utasemaje,ndo mana kwenye foleni nikakutumbukiza katikati,za wenzio kinamama unazionaje?

wakina mama tunajipenda bwana. nitaweka avatar ya maua soon.
 
maybe...just may be,usijekuta avatar nyingine tunazichagua unconsciously.

It's not a guessing game..nimesema kwasababu najua. Nimeshauliza baadhi na wote wana sababu ya kuchagua walizonazo. Jana tu nimeona sijui ni Maskini-Jeuri yule alisema kwanini amechagua avatar aliyonayo.

Wapo waoachukua avatar ni avatar ili tu wawe nayo au kwasababu inependezea machoni ila wapo wanaochagua zenye maana kwao.Hata kama ni ya ajabu kiasi gani.............bado yaweza kua na maana.
 
Back
Top Bottom