The beauty and the ugly.

mai broda,bishanga abashaija stranger kwako? we njo manzese uwanja wa fisi,uliza wapi kwa bishanga utaonyeshwa

Boss umeona hapo pekundu?

Loh uwanja wa fisi! nitake radhi haraka sana

It was great hanging out with you guys. I got to run now. Laterz
 
Inatokana na interest ya mtu...mawazo au hata reflection ya alivyo.
Hata hizo za wababa unazosema ziko vuluvulu zina maana nyuma yake.

Point!...Lizzy posting zako zimekwenda shule hasa!....

 
Sina uhakika

just say it,TF hana uwezo,halafu anataka kujishebedua na wanawake matawi kama Nemo na Kipipi,ataweza?atuachie sisi mapedeshee wa ukweli,kuhonga rav4 kwetu ni kama kumnunulia mwanao peremende.
 
TF atakuwa na tatizo la 'the grass always looks greener on the other side of the fence'

Afro,Husninyo,Sweetlady,Jux,kokuberwa,Kipipi....but the guy keeps asking
about Nemo kutwa....and Nemo is asking about me ...lol....

Ila wajameni The Boss umezidi.............. Kipipi hata kwenye hiyo camp hajawahi kuingia! Wanitakiani mie????
 
Huwa najiuliza hivi avatar yangu watu humu huitafsirije....
 
Boss umeona hapo pekundu?

Loh uwanja wa fisi! nitake radhi haraka sana

It was great hanging out with you guys. I got to run now. Laterz

toba yarabi,Gaijin we mdada?
 
QUOTE=Bishanga;2764240]just say it,hana uwezo,halafu anataka kujishebedua na wanawake matawi kama Nemo na Kipipi,ataweza?atuachie sisi mapedeshee wa ukweli,kuhonga rav4 kwetu ni kama kumnunulia mwanao peremende.[/QUOTE]

Nemo amemtosa maana toka anatafutwa asuhuni hajaonekana
Kipipi mhhh hapo siongei
SL ndo nafikiri hapa
Gaijin lol
 
Ila wajameni The Boss umezidi.............. Kipipi hata kwenye hiyo camp hajawahi kuingia! Wanitakiani mie????

tatizo lenu ndo hilo ,mkishaingia mkenge kwa TF mnajitia hamumjui,lol! We jana si ulikuwa naye bluebird sinza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…