The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Where are you headin too?
i have to fly to mafia with Nemo..wanna come? lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Where are you headin too?
Hahahaha........i have to fly to mafia with Nemo..wanna come? lol
no wonder!
mbona Mbu anaishi sinza? Yaani kaona namnani hakufai? Na mwika pale!si kuna vyumba?
Mkuu mbona hatualikani hata weekend aiseHahahaha........
unapenda ndizi weye? Haya embu nieleze matumizi mawili ya ndizi?
Twende kwenye mkesha wa maombeziMkuu mbona hatualikani hata weekend aise
Nitareport abuse hapa wakupige ban mbona unatutonesha vidonda aisemeja kam back umekuwa fegason baada ya kupigwa mbao sita na mansite? Usitishe mtu hapa,
Unafikiri nafanananishwa na nani...lol!!!meja kam back umekuwa fegason baada ya kupigwa mbao sita na mansite? Usitishe mtu hapa,
Twende kwenye mkesha wa maombezi
Hiyo itakuwa inauza mbege na lubis tuunipo kaunta bukoba club,tunazoza hapa na bujibuji kuhusu aseno/manU.
akasirike nini sasa wakati naye yuko ndani ya malavii na mukulu,muzee munene,muzee wa pamba,muzee wa madolari,ile mtu nakuya jana toka parii,i am out jamani..
KIPIPI i hope no hard feelings,nothing serious,just chit chat..
I hope ni nyinyi wawili tu kwenye equation. Maana that fish is too cute for her own good.
Sidhani kama Boss got anything on you. lol
Undugu wetu hautakufa....nitakuheshimu zaidi
ukiweza kwenda on par na mimi 'kaka yako' nikashindwa ....
do you have that game????lol....
hilo Boss si tatizo ni a fact of life
Wewe umepata mtu kakurushia hadi uzi na kuwaambia wanawake wote JF "wakukome" lakini wala husikii huoni kwa "a lost tiny fish"
ha ha ha wewe bana...
Sasa kama mimi ni two fish to choose..
dogo ana Catalougue yenye mpaka 'mermaid' but
anataka 'undugu ufe na kaka yake' kwa fish mwingine kabisa..lol
Two fish wapi wakati ushasema kupaishwa PM wewe ni routine 😛
usini quote vibaya...
hebu edit hapo...
unataka kisima changu 'kikauke' lol
Kumradhi nimekosea
jamani msini nukuu vibaya, sina lengo la kutia kitumbua cha Boss mchanga
TF ana seduce wife of yatch onwers....umeona???
mwisho ana cruise for free lol
Mbona kazi wanayo wanaokutana nae!
hivi Kipipi na Nemo nao wametumbukia kwenye nyavu za fisadi wa mahaba TF? Maskini!
haogopi kushushwa mshipa,mtoto huyu TF lol!
aah wapi naona dogo anajitahidi tu but 'kuna anga ' hataweza lol
Sina uhakika
Dah!!! Hii conversation sijui walahiii ilinipitia wakati niko wapi kwa kweliTF alizaliwa siku gani ya wiki?
Mhhh nimepita tuu hapa sijaona hii siredinilikuwa na Bebii,inahuuuu?