The beauty and the ugly.

Juu kutoka wapi
Labda Paw aje hapa aseme
Ila Bishanga Bashaija wala haogopeki

embu nambie TF kakimbilia wapi?
Swali la pili: what is the secret of his success? Sisi wengine tunafukuzia weeeeeeeeee humu mmu mbona hatupati kitu?
 
Iko siku nitakusuta we Bishanga wewe..............!!!! Subiri nipate matarumbeta!!

yaani utanifata kabisa kwenye apartment yangu masaki,haile selasie rodi?
 
Bishanga hivi huwa unaenda GROOVE THEORY halafu hii itabidi mnitafute na THE BOSS niwapeleke

groove theory? Mmmmhhhh hapo umentoa ushamba,ni maeneo gani Mkuu?nije mwenyewe au utanitafutia kamzigo hapo ka kuondoka nako?
 
embu nambie TF kakimbilia wapi?
Swali la pili: what is the secret of his success? Sisi wengine tunafukuzia weeeeeeeeee humu mmu mbona hatupati kitu?

Yuko tandale kwa tumbo
Kuna kibibi kinampa dawa akifukuzia tuu hakosi
Ngoja nimwambie akutafutie hiyo dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…