The beauty and the ugly.

Nimeisikia hiyo na ndo maana nasema kwa sauti
Nimekumiss sana aise

Ahhhh
Maisha vurugu mechi.
Ye akianza kutupanga hapo looh
Mara Iren, sjui Mwajuma, na huyo
Tina lohhhh chumba hakitoshi..

Mi nkisema ni me miss The One &Only
Captain Rocky makosi.. simwelewi..[/QUOTE]

We furahi kwa raha zako bana achana nae
Yeye ndo atalala stoo sio sisi
Yaani hapa full raha bana achana na TF akapambane na Kipipi na yule nani sijui wa mafia
Hapa tunamisiana tuu
 
Nimeisikia hiyo na ndo maana nasema kwa sauti
Nimekumiss sana aise
Ukiona vinaelea vimeundwa haya sasa songa kule mbele kaunde vya kwako uanze kuviambia nimekumiss kabla haujateguliwa mshipa wa masaburi muda si mrefu[/QUOTE]

Tulia bana wewe si uko kwa Kipipi huko
Mbona unakuwa fisi kutamani sherehe mbili kwa wakati mmoja
Pambana kwanza sehemu moja ikishindikana ndo uende nyingine
 
Nimeisikia hiyo na ndo maana nasema kwa sauti
Nimekumiss sana aise
Ukiona vinaelea vimeundwa haya sasa songa kule mbele kaunde vya kwako uanze kuviambia nimekumiss kabla haujateguliwa mshipa wa masaburi muda si mrefu[/QUOTE]

Ehhhh
Ivi kumbe unajua kununa
Mmmmmmhhh
 
Ahhhh
Maisha vurugu mechi.
Ye akianza kutupanga hapo looh
Mara Iren, sjui Mwajuma, na huyo
Tina lohhhh chumba hakitoshi..

Mi nkisema ni me miss The One &Only
Captain Rocky makosi.. simwelewi..

We furahi kwa raha zako bana achana nae
Yeye ndo atalala stoo sio sisi
Yaani hapa full raha bana achana na TF akapambane na Kipipi na yule nani sijui wa mafia
Hapa tunamisiana tuu[/QUOTE]

Ahhh
Rocky usiache kuni miss
Na mi ngoja niiandike kwenye
Kiganja nsi kusahau..
 
...ohooo, mimi sikumaanisha hivyo bana....lol...nawewe unaanza uchokozi hata dripu hujatoa mkononi,
haya bana!
Hivi unamjua Bishanga au unamsikia wewe subiri aibuke hapa utasikia anasema nilikuwa nimeenda kula dinner kule kwenye YATCH yangu kumbe alikuwa Tandale
 
Reactions: Mbu
I
We furahi kwa raha zako bana achana nae
Yeye ndo atalala stoo sio sisi
Yaani hapa full raha bana achana na TF akapambane na Kipipi na yule nani sijui wa mafia
Hapa tunamisiana tuu

Ahhh
Rocky usiache kuni miss
Na mi ngoja niiandike kwenye
Kiganja nsi kusahau..[/QUOTE]

Mi nimeandika moyoni kabisa nisije kukusahau
Safi sana aise tumuache jamaa akae huko huko jikoni kwake
 
I

Ahhh
Rocky usiache kuni miss
Na mi ngoja niiandike kwenye
Kiganja nsi kusahau..

Mi nimeandika moyoni kabisa nisije kukusahau
Safi sana aise tumuache jamaa akae huko huko jikoni kwake[/QUOTE]

Kwa sasa bado hajajua kama ye ni vegetarian
au la...
Haya bana mi nakuaga kwa sasa
Usikumwema my dear..
Ohh should I say Sweet Dreams ...
 
Mi nimeandika moyoni kabisa nisije kukusahau
Safi sana aise tumuache jamaa akae huko huko jikoni kwake

Kwa sasa bado hajajua kama ye ni vegetarian
au la...
Haya bana mi nakuaga kwa sasa
Usikumwema my dear..
Ohh should I say Sweet Dreams ...[/QUOTE]

Thank you dear
Have a great night too and sweet dreams
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…