The beauty and the ugly.

Kwani masaki ndo nini??? Ngoja niitarifu camp yangu iliyoko keko machungwa!! We mchache sana!
ukitoka keko machungwa itafute kamata,ukifika posta chukua basi la masaki,njoo mpaka sea cliff ,shuka hapo , hayo ma apartment ya kushoto kwako ndo kwangu,karibu.
 
Wengine wanawaeke wameweka za kiume wengne ni midume imeweka za kike hoa nao utasemaje
 
Nimeisikia hiyo na ndo maana nasema kwa sauti
Nimekumiss sana aise
Ukiona vinaelea vimeundwa haya sasa songa kule mbele kaunde vya kwako uanze kuviambia nimekumiss kabla haujateguliwa mshipa wa masaburi muda si mrefu[/QUOTE]
acha kumtisha ndugu yangu!
mr Rocky,gangamala mtoto wa kiume.
 

...ohooo, mimi sikumaanisha hivyo bana....lol...nawewe unaanza uchokozi hata dripu hujatoa mkononi,
haya bana!
mkuu we mwache,mi namfuatilia kwa karibu nyendo zake.
 
Ukiona vinaelea vimeundwa haya sasa songa kule mbele kaunde vya kwako uanze kuviambia nimekumiss kabla haujateguliwa mshipa wa masaburi muda si mrefu
acha kumtisha ndugu yangu!
mr Rocky,gangamala mtoto wa kiume.[/QUOTE]
We acha kabisa niko nae akitoa mguu naweka wangu siachi nakaba mpaka penalti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…