The beauty and the ugly.

The beauty and the ugly.

unakumbuka nilikwambia ikifanyika research humu,itakuwaje?umeonaa?lol

Boss si useme tuu TF atakuwa anaongoza maana naamini PM yake inabidi kila siku afute msg zilivyo nyingi na yeye ukimkosa kwenye thread ujue kabana PM
 
nilishamwambia hivyo na yeye anajua,nimesahau jina la thread...
 
Khaaa! Weee Nick kwani PM huwa kuna thread ya kuchangia?
 
nilishamwambia hivyo na yeye anajua,nimesahau jina la thread...
Halafu kumbe Bebii kabatizwa anaitwa Smile sasa na avatar nyingine ili avikamate vidume vilivyo natumaini this time vidume vitamtumia sana PM kwa avatar na jina lake jipya...lol
 
Back
Top Bottom