The beauty and the ugly.

Lol....hivi uliweza kum-asses Kongosho wa Boss maana sikuwepo

Hehehe maana sijui hata nianzie wapi! ....Boss alikuwa ana play hard to get (lol)

Si umeona kwa nini vidume vinataka sometimes upotee hewani JF!
 
umeona ulivyo 'mroho'
na vilivyokuja ulipokuwa haupo unaviulizia lol
Hahaha! Sasa Boss atie maguu hapa yule shorii wa jana Boss lazima huyo uingie mitini na kutuwekea vigingi vya kutosha si unajua namzungumzia nani lol
 
Hehehe maana sijui hata nianzie wapi! ....Boss alikuwa ana play hard to get (lol)

Si umeona kwa nini vidume vinataka sometimes upotee hewani JF!

wewe...
actually nilitaka dogo awepo 'aone' kaka zake ' tuna handle vipi'
unamkumbuka JUX na jinsi dogo 'alivyolowa'????
 
lol!...Bishanga sikukuu njema.

hata karibu? Wala usihofu,nitakuja nimevaa kaptula,shati na mgongoni begi la shule.Nitakuwa mtoto mzuri,na baada ya biriyani ukiamua kucheat......well.....
 
wewe...
actually nilitaka dogo awepo 'aone' kaka zake ' tuna handle vipi'
unamkumbuka JUX na jinsi dogo 'alivyolowa'????

Ukicheki kwa udeep una point.

Ila waswahili wanasema "Debe tupu ..." sasa isije kuwa wewe mwenyewe ndo wale wale tu
 
Ukicheki kwa udeep una point.

Ila waswahili wanasema "Debe tupu ..." sasa isije kuwa wewe mwenyewe ndo wale wale tu

leo umeniamkia naona lol......
ngoja nifanye 'the homework'..lol
 
Boss muulize Bishanga anajua maana ya LAY LOW akiishajua mwambie yeye na Rocky wasiwe wanalalamika.....lol!

uli lie low au SL alikuficha La Gemma zanzibar?huko nasikia kila chumba kina swimming pool yake,hongera aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…