The beauty and the ugly.

The beauty and the ugly.

Mr Rocky

Ngoja nimnukuu Boss labda utaelewa

" Gaijin is not expected to say anything pleasant or nice"

Since Boss analijua hilo ndio nikasema "anakuchuuza" :]
 
Mr Rocky

Ngoja nimnukuu Boss labda utaelewa

" Gaijin is not expected to say anything pleasant or nice"

Since Boss analijua hilo ndio nikasema "anakuchuuza" :]

am i the only one who understand you better???lol...
off course nikisema yes,utajibu no...lol
 
unatuangusha aisee
kuwaelewa women always
elewa kinyume chake...ukiambiwa 'sikupendi'
basi probability ya kuwa 'unapendwa' ndio kubwa...
Hahahahahah Boss nalielewa sana na sometime ukiona resistance unarudisha majeshi nyuma unajipanga sawa unaanza upya
 
Dah! Kweli Boss huyu Nick inabidi ku-step up his game naona anamshindwa Gaijin hivi hivi....lol

halafu alivyo na bahati
GEE ame take efforts kumuelewesha
kuwa 'kazi ni kwake'.....umeona hiyo???lol
 
Back
Top Bottom