The Beauty of African Wedding

Jamani send me these pics ili pia na mimi niandae ya kwangu hivi, Nimeipenda sana this african wedding
 
Fantastic ceremony! cheap and simple apart from the transport, they needed to hire donkeys and a rickshaw! it would have been excellent.
 
Kabisa, nyumbani ni nyumbani, achaneni na uzungu kupindukia, je walienda honey moon?

Picha zipelekwe jumba la sanaa(kama wanaridhia) ili watu waone kwamba hata vya kiafrika ni vizuri.
 
very simple and beautiful wedding, no complications mara colour ya wedding, i ,love it
 
Duh nimeipenda kwa sana. Big up wote. Naamini watu wataiga mfano huu. Well suala la gharama labda wataalam watuambie. Hope it is a bit cheap or comparatively the same.
 
Yes, nimeikubali. Hongera waliobuni na kupanga maandalizi ya kufanikisha hiyo. Thats the real beauty of African wedding.
 
Kabisa, nyumbani ni nyumbani, achaneni na uzungu kupindukia, je walienda honey moon?

Picha zipelekwe jumba la sanaa(kama wanaridhia) ili watu waone kwamba hata vya kiafrika ni vizuri.

Kaka mimi nitafurahi hasa endapo tukianza kufanya harusi za namna hii, itakuwa nafuu sana kwa watanzania wengi kiuchumi. Na hata wenye hela wataiga wakiona zinavutia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…