The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Utaniita kwenye designing nije nikufanyie lolNimeifurahia sana Harusi kwa kweli. Ngoja nifanye mipango ya yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaniita kwenye designing nije nikufanyie lolNimeifurahia sana Harusi kwa kweli. Ngoja nifanye mipango ya yangu
Fidel ongea na mimi nikushonee suti nzuri lol vitambaa nitaenda kununua pale manzeseHuyo jamaa ane shona suit hizo niliwahi mpigia cmu anauza bei mkuu
Dah!! Unataka hadi soda zisiwepoSoda why???,wangeweka Kindi,Rubisi,pingu,mbege
Iko muzuri sana aisee...
Ha ha ha kumbe hata soda sio asili ya mwafrikaMbona nguo walizovaa pamoja na gari, coka na mirinda, sio asili ya mwafrika?
Anyway, imependeza...
Ha ha ha ha mkuu taratibu bwanaTena harusi hii sidhani kama ilifika Mil 2
Kabisa, nyumbani ni nyumbani, achaneni na uzungu kupindukia, je walienda honey moon?
Picha zipelekwe jumba la sanaa(kama wanaridhia) ili watu waone kwamba hata vya kiafrika ni vizuri.