Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FELI..,
Lakushangaza hata bajeti iliyotangazwa majuzi, iliondoa kodi kwenye magari ya kubeba Watalii.
[FONT=arial,sans-serif][SIZE=-1]Tanzanian Crops
[FONT=arial,sans-serif][SIZE=-1]Crops at market. Tanzanian farmers ...
[FONT=arial,sans-serif][SIZE=-1]... "Kenya and Tanzania 2005 Crop ...Kwasabau ya kutojiamini. Yaani tunategemea sana external sources of income na misaada. Mimi huku kushuka kwa uchumi ningechukulia kama advantage kwetu kwani sisi economy yetu haiko 100% commercialised so kwangu kilimo ndo namba moja hiyo tourism okay but kama watu wangu watajitosheleza kwa chakula and on export badala ya kulima pamba ambayo hatuna viwanda na wanunuzi ndo hawana pesa basi mimi ningeelekeza nguvu kwenye ngano ambayo iko locally consumed na externally, pamoja na horticultural crops, mahindi kwaajili ya export pia maana ina link na sector ya livestock in western countries nakwao ni gali so huwa wanapenda kuimport na kwakua chakula ni priority kuliko nguo basi hiyo sector bado iko subsidised ku import hizi tu kama zikiwa efficiently produced na kwakutumia labour na technology yetu hata watalii wasipokuja si tutauza ngano kwao na sector yetu ile ambayo ndo mkombozi kwenye kodi yaani breweries japo kua mimi mlokole lakini kuliko pamba bora ngano maana kutakua na multplier effect hata kwenye associated industries kama Bakresa na so on. Then mbaazi, sunflower etc. Well tusi shy away tuisaidie nchi yetu. Maana miradi ya kilimo haipo properly done japokuwa kuna genuine effort lakini planning ni tatizo kubwa.
