THE BEST (CEO) KIMEI: Chukua fomu wananchi tukupa kure

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,947
Reaction score
7,939
Tupo wanafunzi wa MBA hapa schoo of busness tukitafakari nani anafaa kupewa dhamana ya urais sasa katika tuliopo hamsini 89% wamependekeza Kimea achukue fomu maana waliojitokeza hawaridhishi.

Kimei amekuwa mtawala mzuri katika taasisi ya kibiashara na kampuni inaongoza kwa utawala wa raslimali watu, technolojia, ubunifu v tija na mahusiano na jamii.
 
Tupo wanafunzi wa MBA hapa schoo of busness tukitafakari nani anafaa kupewa dhamana ya urais sasa katika tuliopo hamsini 89% wamependekeza Kimea achukue fomu maana waliojitokeza hawaridhishi.Kimei amekuwa mtawala mzuri katika taasisi ya kibiashara na kampuni inaongoza kwa utawala wa raslimali watu, technolojia, ubunifu v tija na mahusiano na jamii

mkuu msalubasi ni macho yangu au naona chenga chenga ? wewe unamzungumzia kimea kutoka bodi ya madini na miamba / matumbawe kuwa ndiye anataka kuja kuchukua nchi ?

Au ulimaanisha dr. Charles Kimei wa Community Rural Development Bank (CRDB)? Kama ndiye huyo sidhani kama ana fit kwa nafsi tajwa hapo ya kuongoza nchi....hiyo siyo taasisi ya fedha , nchi ni zaidi ya uijuavyo wewe.
 
Tupo wanafunzi wa MBA hapa schoo of busness tukitafakari nani anafaa kupewa dhamana ya urais sasa katika tuliopo hamsini 89% wamependekeza Kimea achukue fomu maana waliojitokeza hawaridhishi.Kimei amekuwa mtawala mzuri katika taasisi ya kibiashara na kampuni inaongoza kwa utawala wa raslimali watu, technolojia, ubunifu v tija na mahusiano na jamii

Hapo ni wapi mkuu, maana inawezekana mna mtizamo na dhamira njema; Je mnapendekeza kugombea kupitia Chama gani?

1. Kama ni CCM, hilo sahau maana si mwenzao na je ataweza kulinda maslahi ya Majizi ya CCM.

2. Kama ni Upinzani sidhani kuwa atapata nafasi kwa maana, ubavu wake wa kushindana na Sisimu ni Mwembamba.

Labda tu Mtueleze kama mnamshauri agombee kupitia CCM, maana huko wagombea waliojitokeza ni zaidi ya 12 kwa sasa, hii ni kwa sababu wameona urais ni kazi rahisi sana baada ya madudu mengi kufanywa na serikali ya chama chao.

My Take: Hapa tulipo kwa sasa kama nchi,basi tunahitaji Mtawala na sio Kiongozi.....tunamtaka mtu mwenye Kuchukia Ufisadi si tu kwa Maneno bali kwa Vitendo (Kukamata na kufilisi mali zote zilizopatikana kwa njia ya hila).

Tunamhitaji Mtawala na wala si Mchumi au Kiongozi, kwa hali yetu tuliyonayo ya wizi wa mali ya Umma, Tunataka mtawala aweze kuisafisha nchi na baadae watatafutwa wachumi wazuri hata kutoka ugaibuni waje wamshauri kuhusu maswala ya Kiuchumi, wakati nchi ikiwa safi.

Ndani ya siku 100 za kushika dola awe amekamata Majizi yote ndani ya Utawala utakaokuwa umeanguka wa ma CCM.
 
Hiyo MBA gani mnasoma wajinga hivyo mnashindwa kutofautisha kuongoza nchi na taasisi! Huyo Kimei wenu tuna usongo naye kwelikweli CCM ikiondolewa madarakani tunalia naye, fedha zote za EPA zilipita CRDB na hakuna anayeweza kumfunga kwa sasa ila kwa UKAWA atanyea debe segedansi
 
Tupo wanafunzi wa MBA hapa schoo of busness tukitafakari nani anafaa kupewa dhamana ya urais sasa katika tuliopo hamsini 89% wamependekeza Kimea achukue fomu maana waliojitokeza hawaridhishi.Kimei amekuwa mtawala mzuri katika taasisi ya kibiashara na kampuni inaongoza kwa utawala wa raslimali watu, technolojia, ubunifu v tija na mahusiano na jamii

Wasomi wa siku hizi ni shida kweli,tatxo tunasoma for fassion!!

Ulichokiandika na Elimu unayosema unaisomea mbona ni vitu viwili tofauti??

Crdb ni kasisimizi,Tanzania ni tembo,panua wigo wa akili yako
 
Tupo wanafunzi wa MBA hapa schoo of busness tukitafakari nani anafaa kupewa dhamana ya urais sasa katika tuliopo hamsini 89% wamependekeza Kimea achukue fomu maana waliojitokeza hawaridhishi.Kimei amekuwa mtawala mzuri katika taasisi ya kibiashara na kampuni inaongoza kwa utawala wa raslimali watu, technolojia, ubunifu v tija na mahusiano na jamii

ujinga ndo unao liangamiza hili taifa 80% ya watanzania bado ni majinga sana.kama wewe mwenye kiwango hicho cha elimu ni mbumbu kabsa je waliopo chini.watu kama nyie mnafaa kunyongwa kabsa.pumba.vu sana!
 
maajabu hayatoisha tanzania.utaskia hata kwa kua headmaster wa shule flan ni mzuri kaongoza shule kwa mafanikio basi apewe nchi!!!!vijana tuacheni tabia ya kushindilia viroba na kuja kutuongezea mambo yasiyo na mantik kuyachambua...huyo kimei ni mfanyabiashara anatafta faida.ni mwizi tu .anaishi kwa ujanja ujanja wa kutapeli wananchi.
 
nyie madent wa mba mna.gon.gwa kweli ndo maana hio mba imekuwa haina ishu kabisa njoo nikufundishe political sciences ili uweze kufanya political analyisis
 
Tupo wanafunzi wa MBA hapa schoo of busness tukitafakari nani anafaa kupewa dhamana ya urais sasa katika tuliopo hamsini 89% wamependekeza Kimea achukue fomu maana waliojitokeza hawaridhishi.Kimei amekuwa mtawala mzuri katika taasisi ya kibiashara na kampuni inaongoza kwa utawala wa raslimali watu, technolojia, ubunifu v tija na mahusiano na jamii

Nchi hii ya ajabu sana hivi mnadhani kuindesha taasisi binafsi na kufanikiwa kiasi kwamba kuongoza soko la kibenki Tanzania?
Hivi waziri anapimwa ufanisi wake kwa vigezo gani?
Kimei anafaa sana ila ningependa rais anayefuata ampe cheo cha u governor wa BOT
 
mkuu msalubasi ni macho yangu au naona chenga chenga? wewe unamzungumzia kimea kutoka bodi ya madini na miamba / matumbawe kuwa ndiye anataka kuja kuchukua nchi?
au ulimaanisha dr. Charles Kimei wa Community Rural Development Bank (CRDB)? Kama ndiye huyo sidhani kama ana fit kwa nafsi tajwa hapo ya kuongoza nchi....hiyo siyo taasisi ya fedha , nchi ni zaidi ya uijuavyo wewe.

Huyo mleta uharo bila shaka mchagga yupo kazini kuutukuza ukabila.
 
mkuu msalubasi ni macho yangu au naona chenga chenga? wewe unamzungumzia kimea kutoka bodi ya madini na miamba / matumbawe kuwa ndiye anataka kuja kuchukua nchi?
au ulimaanisha dr. Charles Kimei wa Community Rural Development Bank (CRDB)? Kama ndiye huyo sidhani kama ana fit kwa nafsi tajwa hapo ya kuongoza nchi....hiyo siyo taasisi ya fedha , nchi ni zaidi ya uijuavyo wewe.

..... Community Rural Development Bank (CRD? ...
Hili jina lilibadilika lini kutoka CO-OPERATIVE AND RURAL DEVPT BANK?
 
Fatilia chimbuko la hiyo benki ndo utakuja kujua kwanini ilikuwa na jina hilo la kijamaa na sio jina la kibepari kama ulivyo litaja mkuu, pia hiyo benki ilianzishwa kwa dhima ipi.
 
Nchi yetu tukufu ya Tanzania haipaswi kuongozwa na makada ama makamanda kwakuwa inatakiwa kuongozwa kama kampuni katika baadhi ya mambo hasa ya kiuchumi. Ukada na ukamanda umeondosha weledi wa wtanzania hivyo tuweke watu wenye sifa za kuongoza mashirika ili watuletee tija . Rasi anaetakiwa tanzania anapaswa kuwa mjuzi wa mambo ya uchumi na fedha. Hebu tuachane na wanasiasa waliosoma siasa , sheria , historia,science na mambo mengine kama hayo. Nchi yetu ipo nyuma kinachokosekana nin weledi
 
Tupo wanafunzi wa MBA hapa schoo of busness tukitafakari nani anafaa kupewa dhamana ya urais sasa katika tuliopo hamsini 89% wamependekeza Kimea achukue fomu maana waliojitokeza hawaridhishi.

Kimei amekuwa mtawala mzuri katika taasisi ya kibiashara na kampuni inaongoza kwa utawala wa raslimali watu, technolojia, ubunifu v tija na mahusiano na jamii.

Raisi wa wachaga ila siyo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom