Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Tatizo sikuizi tuzo ya mchezaji bora wanagawa tu ilimradi hapo mimi ningempa ronaldo
VVD for the awardLete vigezo
Bernado silva hata top 3 hayupo dah
Kutokuwepo kwa Bernardo Silva hapo ni jambo la ajabu sana. |
Kaliodou koulibaly.Saa 2 za Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki, kutakuwa na hafla ya utoaji wa tuzo ya Mchezaji bora wa FIFA kwa mwaka 2019 pale jijini Milan nchini Italy.
Pia hafla hiyo itaambatana na utoaji wa tuzo ya mchezaji bora kwa wanawake.
Vilevile kutakuwa na tuzo ya goli bora la mwaka, kocha bora wa mwaka pamoja na kikosi bora cha mwaka.
Kwa mchezaji bora wa mwaka 3 bora ni Messi, Ronaldo na Van Dijk ambaye anapigiwa chapuo kubwa ya kuibuka na tuzo hiyo.
Mimi ningepata nafasi, kura yangu ningempa Van Dijk. Wewe kura yako ungempa nani?
Tukutane pale Milan nchini Italy kuanzia saa 2 usiku kwenye king'amuzi cha Dstv.
View attachment 1214271
Jamaa anawasha sana moto sema watu wanampotezea kama hawamuoni vile
Kutokuwepo kwa Bernardo Silva hapo ni jambo la ajabu sana.
Ubaya ni kwamba hata 3 bora hayupoKaliodou koulibaly.
kachukua ubingwa italia na ubingwa wa timu za taifa uefaLete vigezo
Samata wetu hayupo ?Kura yangu ya turufu inaenda kwa Rüştü Reçber Kipa wa Turkey
Mwakani, hii ni uefa yake ya kwanza, acha imtangazeSamata wetu hayupo ?
kachukua ubingwa italia na ubingwa wa timu za taifa uefa
dah mkuu haya mambo kwanza tuwaachie wenyeweBernado Silva amebeba - EPL, FA CUP, LEAGUE CUP na hilo kombe la UEFA ulilolisema tena yeye akiwa ndie mchezaji bora wa mashindano nani anastahiki zaidi?