VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
si
siyo marcelo tu... umemuona modric...??uyo marcelo anafanya nini hapo kwenye kikosi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siyo marcelo tu... umemuona modric...??uyo marcelo anafanya nini hapo kwenye kikosi?
FIFA ni kama ccm????? Kipi cha maana alichofanya hadi atwae tuzo????!!1Mnyama La PulgaView attachment 1214529
Hahaa mkuu kunywa maji kwanzaFIFA ni kama ccm????? Kipi cha maana alichofanya hadi atwae tuzo????!!1
Chama langu ni gwiji la rushwa.
FIFA ni genge la wahuni tu
Bao la mkonoFIFA ni genge la wahuni tu
wazungu baadhi ya nyakati wana matendo ya ajabu kuliko black man.si
siyo marcelo tu... umemuona modric...??
Vipi Modric?uyo marcelo anafanya nini hapo kwenye kikosi?
Sinywi maji wala juisi.Huo ndo ukweli. Siku hizi ni mzururaji tu.Hahaa mkuu kunywa maji kwanza
pia hakustahili kuwepo pamoja na wachezaji wengine wa real madrid.Vipi Modric?
Hakustahili kuwepo unamuachaje Benaldo Silva,Christian EricssonVipi Modric?
Hatimae ADIDAS wadhamini wakuu wa FIFA wametuletea MESSI kama mshindi.
Poleni sana Team Nike. Dunia haijawahi kuwa na usawa.
Huu ni wizi wa mchana kweupehata sadio mane hayupo kwenye first eleven?
Mbona unanilisha maneno mkuu?Kwahiyo mkuu unataka kutuaminisha kuwa La Pulga hakustahili?