Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Hapo kwenye kiungo bora hata wangemweka Miralem Pjanic au KDBHakustahili kuwepo unamuachaje Benaldo Silva,Christian Ericsson
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye kiungo bora hata wangemweka Miralem Pjanic au KDBHakustahili kuwepo unamuachaje Benaldo Silva,Christian Ericsson
It doesnt matter what you know, but whom you know!
Dogo mmoja hivi alipiga tikitaka
IS CORRUPTION EVERYWHERE.Wamepuyanga sana
Kunywa maji mkuu, presha ni kubwa sana.IS CORRUPTION EVERYWHERE.
Wadau wanajisahaulisha sijui ndio mapenzi upofu
Sometime ushamba nao unachangia!!Wazee sikukosea kabisa kumuita mwanangu Lionel,na nna tamani aje kuwa mchezaji mpira tena bora kama Messi
Jamma aliupiga mwingi sana lakin wanaingia first 11 wachezaji ambao hawakustahlArnold hayupo? Basi FIFA tutawashtaki kwa Roma Mkatoliki awatungie wimbo wa kuwaponda. Fifa kijiwe nongwa
Kungekuwa na kutoaa likes100 ningekupa. Raia wnapigaa kelele hapa wakati takwimu zinaonyesha Messsi anastahili kwa 100% kuchukuaa hii tuzoLionel Messi last season(2018/2019):
Europe top scorer[emoji818]
Barcelona top scorer[emoji818]
Champions League top scorer[emoji818]
La Liga top scorer[emoji818]
Barcelona most assists[emoji818]
La Liga most assists[emoji818]
Most La Liga MOTM awards[emoji818]
Most UCL MOTM awards[emoji818]
Most chances created[emoji818]
Most goal contributions in the top 5 leagues[emoji818]
Most points won for his team in the top 5 leagues[emoji818]
Most free-kick goals[emoji818]
Most braces[emoji818]
Most hat-tricks[emoji818]
Top scorer Vs Top 6 EPL teams[emoji818]
Contributed to 74/96 team[emoji818]
goals [emoji818]
UCL most man of the week[emoji818]
UCL best Forward[emoji818]
UCL goal of the tournament[emoji818]
Pichichi award(la liga golden shoe) [emoji818]
6th European Golden shoe 2019(record)[emoji818]
Most goals outside box[emoji818]
La Liga MVP[emoji818]
ESPY Best international Men's
Soccer Player of the year[emoji818]
Hatimae ADIDAS wadhamini wakuu wa FIFA wametuletea MESSI kama mshindi.
Poleni sana Team Nike. Dunia haijawahi kuwa na usawa.
Tunzo [emoji777]King Messi saafi sana tunzo imeendaa kwa anaestahili
Kunywa maji kwa wingiHuo sio uanamuchezo be fair messi deserve this
Tupunguze kuishi kwa kukaririafu wanaangalia mchezaji aliye chukua uefa
Ukimchukia Messi basi unauchukia Mpira.Ime penya iyoView attachment 1214519