jerry joshy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 402
- 504
Tukiwa tunakaribia kufunga mwaka naomba nitoe list ya macelbrities ambao ni mabest looser wa mwaka huu, kwa kweli list ni ndefu sana ila naomba nimuandike huyu manake ndo kaloose kila kitu na nadhani hamna mwaka mbaya kwake kama 2016 yani in short ni kuwa hajulikani hata kama ana exist khaaa! Hadi huruma masikini yani kuanzia maisha yake binafsi.
Maisha yake ya kimapenzi yani kabaki mtupu yale mashauzi yake na mbwembwe zake anapokuwa sehemu siku hizi kimya, hana marafiki wa maana, mapedeshee hawathubutu hata kumfata manake ligi yake ya mchangani yani kama mpira yeye anacheza mpira wa mifuko.
Wema hana gari, Wema hajafanya mabirthday ya mashauzi mwaka huu, Wema hana bwana wa maana wa kumuonga chochote mjini yani siku hizi Wema ni wa kuhongwa kama danadana anagombewa kama mpira wa kona na vitoto havina gharama kumpata kama zamani, ama kweli huyo ndo best looser wa mwaka 2016
1-100. Wema Sepetu
kama kuna wasindikizaji wa the crown best looser naombeni muwataje.