The best of Ali kiba, huu ndio wimbo wangu bora wa muda wote wa king Kiba

The best of Ali kiba, huu ndio wimbo wangu bora wa muda wote wa king Kiba

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Wakuu, kidumu cha chetu ama kife.

Ali kiba ni moja ya vipaji vikali vya muziki wa bongo fleva kuwahi kutokea nchini, king kiba ana ngoma nyingi sana kali.

Wakuu sikio langu limesikiliza nyimbo nyingi sana kali za Kiba, ila huu wimbo alioupa jina la hadithi ndio wimbo wangu bora kuliko nyimbo zote kali za kiba.


 
Binafsi navutiwa na wimbo wake wa UTU.

Amefanya pamoja na umri wangu kuwa umeenda, nimeutumia kama ringtone yangu.

 
Japokuwa sijasikiliza huo wimbo mana sina MBs Ila nmeupenda sana jamaa ameimba vzr sana hasa hapo dkk ya 2:06 ila AJE ndio nyimbo yangu bora 😎
 
Back
Top Bottom